Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

Kenyewe ako ka Zuchu hakana kipaji kanaforce tu kuimba ndo maana kamekimbilia kuimba nyimbo za CCM mapema.
 
Hivi inaingia akilini kuongelewa kwa Nandy ndio Zuchu apande kimuziki? Inawezekanaje.
 
Hilo ni swala la TCRA na wana taratibu zao...
Zipi ? you are hater hawana taratibu hizo.

Manake still mpaka sasa kwenye matangazo yao,Wasafi WAO wanajiita number moja.

TCRA kazi yao ni kuset environment ambazo zita saidia hizi media kuoperate na kumonitor operation zao technical,huku wakisimamia na kuhakikisha maadili yana zingatiwa.

Ila wao hawaingili ushindani wa kibiashara wa hizi media,kila media inaweza kujiita number moja.
 
Unajua maana ya kumharibia mtu image yake ?
Hapo msanii kama hajatulia atapanic na kujibu kwa kukurupuka kumbe anajiharibia
Hivi inaingia akilini kuongelewa kwa Nandy ndio Zuchu apande kimuziki? Inawezekanaje.
 

Ni kweli japo kusema WCB wanataka kumshusha Nandy ili zuchu apande nayo ni story ingine mkuu
 
Sasa mzee baba Mameneja wenyewe wa diamond (Tale,Fella,Salaah) wote ni darasa la 7 hao mixer kuamini mambo ya waganga usitegemee kudhani wanafikiria mipango ya muda mrefu,wao ni mipango ya leo leo tu then imesha hioooooooooooooo.
 
Hapo ndio utabaini kwamba tatizo hakuwa ruge tatizo walikuwa ni wao

Ila kwa kuwa hawakuwa wameimiliki system ya industry wakawa wanamtupia lawama ruge ambaye alikuwa ana imiliki system ijapokuwa sikatai kwamba pia kuna michezo michafu ambayo ruge amewahi kuifanya kwaajili ya kulinda maslahi ya kibiashara
 
Sasa mzee baba Mameneja wenyewe wa diamond (Tale,Fella,Salaah) wote ni darasa la 7 hao mixer kuamini mambo ya waganga usitegemee kudhani wanafikiria mipango ya muda mrefu,wao ni mipango ya leo leo tu then imesha hioooooooooooooo.
Hahaa imeisha hiyoo
 
Hahahaha kwa sababu nimechagua kuwa positive na matendo ya WCB ni negative
Negative kwa kuongozwa na hisia kuliko uhalisia.

Juzi kuna mdau kaleta thread hapa verse ya harmonize (Nandy ft Harmonize) imejaa matusi,nikaona unatetea lkn kama ingekuwa Diamond au WCB ungeponda manake huna tofauti na sigara kali.

Double standards=Unafiki.
 
Yaani yuko very overrated
Nilikuja kumuona yule binti ni mtoto ile majuzi pale Dodoma alivyomaliza kuimba akaomba akamsalimie Magu akapewa ruhusa hio eti ametoka kushikana mkono na Magu akaanza kulia eti yuko excited hahah,nikaona haka katoto kumbe bado ni kajinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…