Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

Hahaa WCB huwa sijui mnautapia mlo wa kufikiri

Yaani huwaga hamtaki kabisa kuupokea ukweli hata kama ukweli huo umejiweka dhahiri kabisa kama nyeti za mbuzi

Huyo uliye m-quote ambaye ndiye mleta mada ni WCB kindaki ndaki

But Leo kaamua kuacha ushabiki maandazi na kuongea ukweli " Needhani sasa ameona ukweli kuwa hao WCB hawa play game fair wanapenda sana fitna na uswahili uswahili

That's why wanatumia nguvu kubwa za fitina ili wamshushe nandy then wampandishe sijui puchu sijui kuku ooohh sorry mnamuita zuchu if I'm not mistaken
Kenyewe ako ka Zuchu hakana kipaji kanaforce tu kuimba ndo maana kamekimbilia kuimba nyimbo za CCM mapema.
 
Gigy ametumwa na wasafi na lengo ni kumshusha Nandy ili Zuchu atrend ,na Nandy amefanya vizuri kunyamaza na anatakiwa asijibu huo upuuzi wa Gigy,hadi gigy atajiona mjinga , halafu kwa kujipendekeza ataanza kujirudisha kwa nandy mwenyewe.

Hawawezi kumshusha Nandy,ilizuka scandal ya nandy na billnenga hadi video hajashuka sembuse huo ujinga wa kuongea tu.
Hivi inaingia akilini kuongelewa kwa Nandy ndio Zuchu apande kimuziki? Inawezekanaje.
 
Hilo ni swala la TCRA na wana taratibu zao...
Zipi ? you are hater hawana taratibu hizo.

Manake still mpaka sasa kwenye matangazo yao,Wasafi WAO wanajiita number moja.

TCRA kazi yao ni kuset environment ambazo zita saidia hizi media kuoperate na kumonitor operation zao technical,huku wakisimamia na kuhakikisha maadili yana zingatiwa.

Ila wao hawaingili ushindani wa kibiashara wa hizi media,kila media inaweza kujiita number moja.
 
Unajua maana ya kumharibia mtu image yake ?
Hapo msanii kama hajatulia atapanic na kujibu kwa kukurupuka kumbe anajiharibia
Hivi inaingia akilini kuongelewa kwa Nandy ndio Zuchu apande kimuziki? Inawezekanaje.
 
Hata mimi nimejuliza hili swali na wengi walikuwa wakitoa lawama kwa Ruge lakini ukweli unaanza kuonekana kuwa watu wengi ni zaidi ya Ruge na pengine walikuwa wana msingizia lakini wao sasa wanafanya yale walio kuwa wana msingizia Ruge!

Watu wanafikiri Nandy akianguka ndio msanii wanao muhitaji atapata nafasi huu ni ujinga!

Ni kweli japo kusema WCB wanataka kumshusha Nandy ili zuchu apande nayo ni story ingine mkuu
 
Hayo mambo ya wasanii kuwa wa media flani sio ya juzi au ya jana lakini mindset za mmoja ashuke ili mwingine apande ndo zipo sana

Angalia case ya kanumba au mzee Yusuph. Nini kilitokea baada ya hao watu kupotea

Hivi vitu ni vibaya ndo maana hata muziki haufiki mbali, angalia nigeria tu kwa wasanii wa kike tena international acts kuna tiwa, Yemi, Simi , sey shei na wengine kibao

Rudi hapa bongo, watu wanaona zuchu akikua kwenye lane yake hatofika mbali hadi awashushe vanessa na nandy, huu ni upuuzi
Sasa mzee baba Mameneja wenyewe wa diamond (Tale,Fella,Salaah) wote ni darasa la 7 hao mixer kuamini mambo ya waganga usitegemee kudhani wanafikiria mipango ya muda mrefu,wao ni mipango ya leo leo tu then imesha hioooooooooooooo.
 
Hata mimi nimejuliza hili swali na wengi walikuwa wakitoa lawama kwa Ruge lakini ukweli unaanza kuonekana kuwa watu wengi ni zaidi ya Ruge na pengine walikuwa wana msingizia lakini wao sasa wanafanya yale walio kuwa wana msingizia Ruge!

Watu wanafikiri Nandy akianguka ndio msanii wanao muhitaji atapata nafasi huu ni ujinga!
Hapo ndio utabaini kwamba tatizo hakuwa ruge tatizo walikuwa ni wao

Ila kwa kuwa hawakuwa wameimiliki system ya industry wakawa wanamtupia lawama ruge ambaye alikuwa ana imiliki system ijapokuwa sikatai kwamba pia kuna michezo michafu ambayo ruge amewahi kuifanya kwaajili ya kulinda maslahi ya kibiashara
 
Sasa mzee baba Mameneja wenyewe wa diamond (Tale,Fella,Salaah) wote ni darasa la 7 hao mixer kuamini mambo ya waganga usitegemee kudhani wanafikiria mipango ya muda mrefu,wao ni mipango ya leo leo tu then imesha hioooooooooooooo.
Hahaa imeisha hiyoo
 
Hahahaha kwa sababu nimechagua kuwa positive na matendo ya WCB ni negative
Negative kwa kuongozwa na hisia kuliko uhalisia.

Juzi kuna mdau kaleta thread hapa verse ya harmonize (Nandy ft Harmonize) imejaa matusi,nikaona unatetea lkn kama ingekuwa Diamond au WCB ungeponda manake huna tofauti na sigara kali.

Double standards=Unafiki.
 
Yaani yuko very overrated
Nilikuja kumuona yule binti ni mtoto ile majuzi pale Dodoma alivyomaliza kuimba akaomba akamsalimie Magu akapewa ruhusa hio eti ametoka kushikana mkono na Magu akaanza kulia eti yuko excited hahah,nikaona haka katoto kumbe bado ni kajinga sana.
 
Back
Top Bottom