Hayo mambo ya wasanii kuwa wa media flani sio ya juzi au ya jana lakini mindset za mmoja ashuke ili mwingine apande ndo zipo sana
Angalia case ya kanumba au mzee Yusuph. Nini kilitokea baada ya hao watu kupotea
Hivi vitu ni vibaya ndo maana hata muziki haufiki mbali, angalia nigeria tu kwa wasanii wa kike tena international acts kuna tiwa, Yemi, Simi , sey shei na wengine kibao
Rudi hapa bongo, watu wanaona zuchu akikua kwenye lane yake hatofika mbali hadi awashushe vanessa na nandy, huu ni upuuzi