Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

dawa ya makapurwa kama hawa wanaojifinya vichaa kwasababu amezaliwa chooni, unamuacha bila kumjibu ili aendelee kuongea na akitoa defamatory statements(muhusika aliyeongea pamoja na chombo cha habari kilichorusha habari husika) wanakutana na Demand Note Letter kutoka kwa Wakili wako nadhani itakuwa fundisho kwa kenge wengine wote.
 
Negative kwa kuongozwa na hisia kuliko uhalisia.

Juzi kuna mdau kaleta thread hapa verse ya harmonize (Nandy ft Harmonize) imejaa matusi,nikaona unatetea lkn kama ingekuwa Diamond au WCB ungeponda manake huna tofauti na sigara kali.

Double standards=Unafiki.
Aisee ... Naomba uni-add katika hiyo comment


But tuwe wa kweli mkuu ' WCB sana makando makando mengi sana Yanayo sababisha Uvunjivu wa maadili katika Jamii kitu ambacho kinachangia kusabaisha kuto shabikiwa na watu makini wanaojitambua kama wapi watu makini wanaojitambua halafu wanaishabikia WCB trust me ni wachache mnoo

WCB imekuwa kama genge Fulani hivi la wahuni ". But sikatai kwamba Mazuri yao ambayo wame yafanya na wanayafanya katika hii industry ya music
 
WCB wamefanya nini hapo na wewe???? mbona hata clouds walifanya interview na man water kipindi anadai fedha zake kwa Kiba???
Hivi unajua hata unachozungumza? Hebu ficha ujinga wako hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msieeeeeew

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
wewe ndio mjinga. unataka kusema man water naye alitumwa clouds ili amchafue Kiba????
Angalia hiyo statement yako na kweny hili linahusiana vipi? Huyo giggy anamdai nn nandy? Au unaropoka tyuuuh?
 
Babeeeh no hiviii giggy ana slay huko kweny wasafi media kumu attack Nandy, bila 7but za msingi, na anajitapa kuwa km Nandy mjanja basi arudishe mashambulizi atatoa files zake zotee, but Nandy hamjibu yupo tyuuh bizze na life lake.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Gigy anazingua kumbe, kongole kwa Nandy kama ameamua kua kimya aendelee hivyo hivyo, kukaa kimya ni jibu la mjinga....
 
Angalia hiyo statement yako na kweny hili linahusiana vipi? Huyo giggy anamdai nn nandy? Au unaropoka tyuuuh?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
we ndio unaropoka. Swala sio kumdai, swala ni mgogoro. Man water alipokuwa anadai fedha mbele ya media huoni kama alimchafua Kiba mbele ya jamii kama anavyofanya huyu gigy money????
 
Man walter ile ni hela na ni haki yake,Gigy anachotaka kwa nandy ni nini
mbona man water alifanyiwa interview na clouds alipokuwa anadai fedha zake kwa Kiba???? naye alitumwa au??
 
Daaah!!!! JF imegubikwa sana na nyuzi za uchaguzi, bora tupumzike kidogo hapa. Endeleeni kutiririka, ngoja nikatie nia kwanza.
 
Angalia hiyo statement yako na kweny hili linahusiana vipi? Huyo giggy anamdai nn nandy? Au unaropoka tyuuuh?

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Linahusiana vizuri sababu hata aliyeleta mada kwa kiasi fulani ameilenga wasafi kwa aliyoyaeleza Gigy(kwamba Wasafi wanamtumia Gigy ili amchafue Nandy) sasa vipi na Man Walter alivyoenda kueleza malalamiko yake Clouds na yeye alitumwa amchafue Ali Kiba?
 
alicho kitaka kaisha kipata 18/7 kapata tiketi ya kwenda kumuona zuchu halafu kingine nandy ajajibu chochote kwa sababu kalipeleka kwenye vyombo vya usalama
 
Back
Top Bottom