TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Wengine tuna miaka 22 na tumeishi na mama miaka 8 tu, hapo afadhali ya wewe.
heri yako wewe uliishi na mama miaka 8, mama yangu alifariki nikiwa na miaka minne tu, Sikupata upendo wake aisee, Rest in Peace Mama, Rest in peace Kanumba, Rest in Rest in Peace Kingzilla, Rest in Peace for everybody we lost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dada mtu anasema alikuwa anatapika na pia alikuwa anasikia kitu kiko tumboni kime kwama. na walivyo mpeleka hosp walimpima wakasema ana malaria na vipimo vingine vimeonyesha yuko sawa tu
 
Wengine hawakuishi na mama kabisa, wengine hata picha ya mama haijui.
 
Ukiacha ile ya Salasala ambayo ili hit sana kuna wimbo wake mmoja sikumbuki unaitwa ila alitumia beat la kina Kanye West na Jay Z kama sijakosea ilikua inaanza "Im the beez, im the mars, im the gadamn, niko facebook, twitter mpaka BBM, we si toozi eenhh basi twende kaazii" kuna jamaa yangu mmoja nilikua napenda kuiimba nikamdanganya aisee mistari nimeandika mimi hio alinikubali kinoma ila baadae akaja jua ni ya Godzilla....hahaha wimbo mtamu sana ule...
 
Sema kwa muda huo wote mnakuwa mmepigwa upofu. Hamuwezi kutambua mpk atakapokufa.
Ila jamaa nadhani stress za kuachwa na beibe wake ndio zilizompa matatizo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana mi siwezagi kua na Mwanamke mmoja, ili akisepa na replace fasta. Hata Traffic akikukuta huna Spare Tyre ni msala.

RIP King Zillah
 
First to reply zinawaponza.

Mbona heading ipo so clear?

Siku ingine ukiamka fungua macho vizuri at least piga maswali akili ichangamke then shika simu.

Ulikurupuka. Hata kunitukana it won't affect me.
Kuna mwarabu mmoja aliniambia," nyinyi watu akili zenu zinaamka saa 5 asubuhi" yaani alichoandika na mautani [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee!! Too deep

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuugua sio kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…