TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Wengine tuna miaka 22 na tumeishi na mama miaka 8 tu, hapo afadhali ya wewe.
heri yako wewe uliishi na mama miaka 8, mama yangu alifariki nikiwa na miaka minne tu, Sikupata upendo wake aisee, Rest in Peace Mama, Rest in peace Kanumba, Rest in Rest in Peace Kingzilla, Rest in Peace for everybody we lost

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dada mtu anasema alikuwa anatapika na pia alikuwa anasikia kitu kiko tumboni kime kwama. na walivyo mpeleka hosp walimpima wakasema ana malaria na vipimo vingine vimeonyesha yuko sawa tu
 
heri yako wewe uliishi na mama miaka 8, mama yangu alifariki nikiwa na miaka minne tu, Sikupata upendo wake aisee, Rest in Peace Mama, Rest in peace Kanumba, Rest in Rest in Peace Kingzilla, Rest in Peace for everybody we lost

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine hawakuishi na mama kabisa, wengine hata picha ya mama haijui.
 
Ukiacha ile ya Salasala ambayo ili hit sana kuna wimbo wake mmoja sikumbuki unaitwa ila alitumia beat la kina Kanye West na Jay Z kama sijakosea ilikua inaanza "Im the beez, im the mars, im the gadamn, niko facebook, twitter mpaka BBM, we si toozi eenhh basi twende kaazii" kuna jamaa yangu mmoja nilikua napenda kuiimba nikamdanganya aisee mistari nimeandika mimi hio alinikubali kinoma ila baadae akaja jua ni ya Godzilla....hahaha wimbo mtamu sana ule...
 
Sema kwa muda huo wote mnakuwa mmepigwa upofu. Hamuwezi kutambua mpk atakapokufa.
Ila jamaa nadhani stress za kuachwa na beibe wake ndio zilizompa matatizo zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana mi siwezagi kua na Mwanamke mmoja, ili akisepa na replace fasta. Hata Traffic akikukuta huna Spare Tyre ni msala.

RIP King Zillah
 
First to reply zinawaponza.

Mbona heading ipo so clear?

Siku ingine ukiamka fungua macho vizuri at least piga maswali akili ichangamke then shika simu.

Ulikurupuka. Hata kunitukana it won't affect me.
Kuna mwarabu mmoja aliniambia," nyinyi watu akili zenu zinaamka saa 5 asubuhi" yaani alichoandika na mautani [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Innaa lillah wainnaa ilayhi raajiuun. Ni majonzi kiukweli, ni moja kati ya watu nilitokea kuwapenda kwa umahiri wao wa kucheza na lugha. Yafaa mauti kuwa mawaidha tosha.

_____________________________

Ilikuwa ni morning
Kucheki Jf nilipata mshtuko mkubwa moyoni, nikaskut nikasema pengine nipo ndotoni, nikavuta pumzi kiasi cha machozi kunitoka machoni

Kumcheki Millard Ayo
Ni kweli mwana amevuta na mwili upo Lugalo
Godzilla
Salasala homeboy hatunaye tena, majonzi yaliyonifika mpaka nashindwa kunena, Sina mengi ya kusema Mungu akulaze mahali pema

Ni wajibu kukiendea, na sote kinatungojea, R.I.P salasala hommie imani yetu huko unatungojea

_________"_________""______"_

Nina majonzi sana. Mungu akufanyie wepesi huko ulipo, kwani yeye ndiye anayehukumu na ni mwenye mwingi wa huruma kwa waja wake. Huruma yake kwa viumbe wake imezidi huruma ya mama kwa mtoto wake. Nasi tupo njiani, tutakufa tu.
Mzee!! Too deep

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ngumu siku Niko nje nasogoa nasikia mama angu akipiga ukunga ndani kukimbilia nilimkuta baba yupo kitandani amekata kauli , nilishindwa kula walla maji kupita kwa muda wa wiki nilifanya kulazimishwa lakini hali ya siku ile ni tofauti na hali ya sasa niliyonayo Mungu ni mwema hutupitisha kwenye wakati mgumu na anajua namna yakutupa subra na kutuondolea maumivu tofaut na Hapo dunia ingejaa vilio Kila kona vya wapendwa wao.
Kuugua sio kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom