Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
AmenKifo ni mawaidha Tosha.Mawaidha ya kubadili mienendo yetu.Tuwahurumie wafiwa,kuwaombea marehemu na kubadili mienendo yetu kwa kufiwa na watu wetu wa karibu tuwapendao!
Kweli?? au?Tarifa za awali zinasema amefia katika hospital ya Lugalo usiku wa saa tisa, kuamkia leo
Habari zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake zitakuijia
Maisha ya dunoani ni kafupi sana.
Sema binadam tunahadaika na hii dunia kama vile tutaishi milele.
'Hakika kwake tumetoka na kwake tutarejea'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo avata, baby sio mchezo!!! Rest in peace jemedar king of free style Zilla mwenye hiphop yake.