TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Ningekuwa muumba bora ningemtanguliza yule Dada mpenda kukaa uchi sijui poshy kwini au wema lkn sina namna kila mtu kwa wakati wake,pumzika mahala ulipojiandalia wakati wa uhai wako Godzilla.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kifo hakifai mkuu... Siku niliyosikia Masogange kafariki ghafla tu duuh ndo nilibaki mdomo wazi..[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ni star najulikana kwa kitaa whats up..... Am supposed to be the same..
Haijalishi ninapokaa.. Mfukoni nina pesa kadhaa whats up... Am supposed to be the same.

One of his best song :The same-godzilla

R. I. P brother
 
Back
Top Bottom