TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

He was not okay
Screenshot_2019-02-13-11-20-02.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...i can feel u...pole mno aisee nawazaga kufiwa na mzaz jamani naamini nitachizika mazima mm..nina hofu mno hyo mm...navyompenda baba yangu jaman bora nianze mm tu...hakuna msiba mzito na mgumu kama kufiwa na pacha wako pia aisee!unajiona na ww huna thamani kbs.!argh!Pole sana best..rip mom
Nilikuwa sielewi maumivu ya kifo hadi nilipoondokewa na mdogo wangu wa kike. Tulizaliwa wasichana wawili tu. Now nimebakia na kaka zangu tu. Tulikuwa tunapendana sana. Sina hata wa kusogoa naye na kuambiana siri kwa sasa. Maumivu ya kuondokewa na dada yangu wa pekee ni makali sana.
 
Moja kati ya nyimbo zisizo chosha kusikiliza kutoka kwa Godzilla, apumzike kwa amani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ilikuwa ni free style, namkumbuka sana mwanangu, nime enjoy sana freestlyes kipindi tupo high school, na kitaa pia...kuna kipind tupo shule kulikuwa na schoolbash wakashindana freestyle na chid benz chid akaishia kupanick daah so sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa sielewi maumivu ya kifo hadi nilipoondokewa na mdogo wangu wa kike. Tulizaliwa wasichana wawili tu. Now nimebakia na kaka zangu tu. Tulikuwa tunapendana sana. Sina hata wa kusogoa naye na kuambiana siri kwa sasa. Maumivu ya kuondokewa na dada yangu wa pekee ni makali sana.

maskini...duh...pole aisee..yeah ww pengo utali0na had uzeen..duh pole best
 
Msanii Godzilla almaarufu kama Zilla au Zizi amefariki dunia nyumbani kwao Salasala usiku wa jana saa sita, chanzo cha kifo bado hakijawekwa wazi lakini ndugu wake wa karibu amedai kuwa Zilla alikuwa anasumbuliwa na tumbo jana (jumanne) mpaka umauti ulipomfikia usiku. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peopni. AMEN!!
Godzilla afarki dunia blackmutu blog.jpg
 
Back
Top Bottom