TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

Kuna tweet ya tarehe 8 Feb hapo ila kwa vile imeongelea kifo umeiweka!!Zilla alikua ana tweet sana hiyo ya tarehe 8 haiwezi kuwa hata miongoni mwa 10 za mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...i can feel u...pole mno aisee nawazaga kufiwa na mzaz jamani naamini nitachizika mazima mm..nina hofu mno hyo mm...navyompenda baba yangu jaman bora nianze mm tu...hakuna msiba mzito na mgumu kama kufiwa na pacha wako pia aisee!unajiona na ww huna thamani kbs.!argh!Pole sana best..rip mom
Mungu ameumba kusahau hutaamini baada ya muda utaona sawa. Wazazi wanapenda sisi watoto tuwazike wao. Kuzika mtoto kunauma Sana!!
 
Back
Top Bottom