Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Duuuh kwa hio ukiwa activist tayari unakuja kugongewa mlango usiku uchukuliwe au sio?Aonge vizuri na bi mkubwa wake Labda kuna nyaya kagusa za watu
Au mama yake ni mwanaharakati ?????
Ovs
Kila kitu hakikosi sababuDuuuh kwa hio ukiwa activist tayari unakuja kugongewa mlango usiku uchukuliwe au sio?
Wanakua na mitutu ya bunduki..Sasa hiyo nguvu ni ndogo!Mbona hatujawahi kusikia watekaji wameuawa au kupigwa na wananchi, ina maana watekaji hujitekea watu kirahisi bila kupata upinzani? Ndio kusema watekaji wana nguvu kubwa?
Kuna matukio mawili niliyashuhudia yamenipa maswali sanaa, "Polisi walikuwa wanataka kumkamata mtu(wawili wakiwa na uniform,mmoja akiwa kavaa kiraia) sasa wakati wanamkwida yule mtuhumiwa akawa anapiga kelele kumwambia mtu aliyekuwa nae, " chukua simu rekodi video" yule jamaa wa pembeni akatoa smartphone yake na kuanza kurekodi. Cha kushangaza wale askari wakamtishia na yule ila hakuacha kurekodi. Mwisho wa siku waliamua kuacha kumkamata yule kijana na kuondoka na V8 yao nyeusi.Mbona hatujawahi kusikia watekaji wameuawa au kupigwa na wananchi, ina maana watekaji hujitekea watu kirahisi bila kupata upinzani? Ndio kusema watekaji wana nguvu kubwa?
We nawe tuondolee ujinga hapa. Kwani wakija mchana hawawezi kumkuta? Kwanini wakamteke?Kila kitu hakikosi sababu!
Ova
Huyo mama anajishugulisha na nini?We nawe tuondolee ujinga hapa. Kwani wakija mchana hawawezi kumkuta? Kwanini wakamteke?