Msanii Hakeem 5: Wanataka kumteka Mama yangu naomba ulinzi wa Serikali

Msanii Hakeem 5: Wanataka kumteka Mama yangu naomba ulinzi wa Serikali

Mbona hatujawahi kusikia watekaji wameuawa au kupigwa na wananchi, ina maana watekaji hujitekea watu kirahisi bila kupata upinzani? Ndio kusema watekaji wana nguvu kubwa?
Hukusikia ile ya Zakaria kule Musoma aliwawahi wasiojulikana mmoja akala risasi ya mguu ndio ikawa pona yake.
 
Huyo mama anajishugulisha na nini?
We unaweza niona mjinga,
Ila hakuna kitu kinachokosa sababu ????
Muda sana,nlishawahi kusema humu kuwa "huu upepo trend wa kutekana kuna watu nao watapita nao"

Huyo mama anajishugulisha na nini?
We unaweza niona mjinga,
Ila hakuna kitu kinachokosa sababu ????
Muda sana,nlishawahi kusema humu kuwa "huu upepo trend wa kutekana kuna watu nao watapita nao"

Ova
Waharifu hukamatwa kisheria na kushtakiwa kisheria. Kwanini ukamteke usk wa manane? A lawless country
 
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Hakeem 5 ametoa taarifa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuna watu walienda kwa mama yake usiku majira ya saa sita wakimtaka afungue atoke nje wakidai wao wametumwa na wakubwa na wakijitambulisha kuwa ni polisi hali ilifanya wapate hofu kwanini waende usiku?

Hivyo anaamini hao ni watu wenye nia mbaya ya kumteka mama yake hivyo anaomba ulinzi kwa serikali iwasaidie ili mama yake awe salama maana ana hofu mpaka sasa Sikiliza na utoe maoni yako.

Mkuu alisema wanaotekana wanagombea mapenzi.
Acheni michepuko.
 
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Hakeem 5 ametoa taarifa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuna watu walienda kwa mama yake usiku majira ya saa sita wakimtaka afungue atoke nje wakidai wao wametumwa na wakubwa na wakijitambulisha kuwa ni polisi hali ilifanya wapate hofu kwanini waende usiku?

Hivyo anaamini hao ni watu wenye nia mbaya ya kumteka mama yake hivyo anaomba ulinzi kwa serikali iwasaidie ili mama yake awe salama maana ana hofu mpaka sasa Sikiliza na utoe maoni yako.

"Kila kona anayopita ,ana aibu ,wachimba chumvi wanamwita ana aibu ,demu wangu anakataa huku anatingishaa Bambata" - Hakeem 5 ft Dully Sykes

2005 - Watoto wa elfu 2 hawamjui ni nani huyo.
 
Kuna matukio mawili niliyashuhudia yamenipa maswali sanaa, "Polisi walikuwa wanataka kumkamata mtu(wawili wakiwa na uniform,mmoja akiwa kavaa kiraia) sasa wakati wanamkwida yule mtuhumiwa akawa anapiga kelele kumwambia mtu aliyekuwa nae, " chukua simu rekodi video" yule jamaa wa pembeni akatoa smartphone yake na kuanza kurekodi. Cha kushangaza wale askari wakamtishia na yule ila hakuacha kurekodi. Mwisho wa siku waliamua kuacha kumkamata yule kijana na kuondoka na V8 yao nyeusi.
Tukio hili huwa linanipa maswali sanaa,kama kweli walikuwa na haki ya kumkamata yule mtu kwanini waogope kamera??
Hao hawakuwa askari polisi.
Polisi hawawezi kuja na V8 kwa kazi hiyo
 
Waharifu hukamatwa kisheria na kushtakiwa kisheria. Kwanini ukamteke usk wa manane? A lawless country
Ndomana tulisemaga, kuna watu watakuja kupita na hii trend ya utekaji/ukamataji

Ova
 
Mnyamwezi Hakeem 5 kijana anapenda kupendeza toka kitambo bhana ! Wamuache Bi mkubwa bhana ! Serikali iache michezo michafu
 
Back
Top Bottom