Hukusikia ile ya Zakaria kule Musoma aliwawahi wasiojulikana mmoja akala risasi ya mguu ndio ikawa pona yake.Mbona hatujawahi kusikia watekaji wameuawa au kupigwa na wananchi, ina maana watekaji hujitekea watu kirahisi bila kupata upinzani? Ndio kusema watekaji wana nguvu kubwa?
Huyo mama anajishugulisha na nini?
We unaweza niona mjinga,
Ila hakuna kitu kinachokosa sababu ????
Muda sana,nlishawahi kusema humu kuwa "huu upepo trend wa kutekana kuna watu nao watapita nao"
Waharifu hukamatwa kisheria na kushtakiwa kisheria. Kwanini ukamteke usk wa manane? A lawless countryHuyo mama anajishugulisha na nini?
We unaweza niona mjinga,
Ila hakuna kitu kinachokosa sababu ????
Muda sana,nlishawahi kusema humu kuwa "huu upepo trend wa kutekana kuna watu nao watapita nao"
Ova
Mkuu alisema wanaotekana wanagombea mapenzi.Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Hakeem 5 ametoa taarifa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuna watu walienda kwa mama yake usiku majira ya saa sita wakimtaka afungue atoke nje wakidai wao wametumwa na wakubwa na wakijitambulisha kuwa ni polisi hali ilifanya wapate hofu kwanini waende usiku?
Hivyo anaamini hao ni watu wenye nia mbaya ya kumteka mama yake hivyo anaomba ulinzi kwa serikali iwasaidie ili mama yake awe salama maana ana hofu mpaka sasa Sikiliza na utoe maoni yako.
"Kila kona anayopita ,ana aibu ,wachimba chumvi wanamwita ana aibu ,demu wangu anakataa huku anatingishaa Bambata" - Hakeem 5 ft Dully SykesMsanii Mkongwe wa Bongo Fleva, Hakeem 5 ametoa taarifa kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa kuna watu walienda kwa mama yake usiku majira ya saa sita wakimtaka afungue atoke nje wakidai wao wametumwa na wakubwa na wakijitambulisha kuwa ni polisi hali ilifanya wapate hofu kwanini waende usiku?
Hivyo anaamini hao ni watu wenye nia mbaya ya kumteka mama yake hivyo anaomba ulinzi kwa serikali iwasaidie ili mama yake awe salama maana ana hofu mpaka sasa Sikiliza na utoe maoni yako.
Eeeh kwanini uiseme serikali tukufuDuuuh kwa hio ukiwa activist tayari unakuja kugongewa mlango usiku uchukuliwe au sio?
Hao hawakuwa askari polisi.Kuna matukio mawili niliyashuhudia yamenipa maswali sanaa, "Polisi walikuwa wanataka kumkamata mtu(wawili wakiwa na uniform,mmoja akiwa kavaa kiraia) sasa wakati wanamkwida yule mtuhumiwa akawa anapiga kelele kumwambia mtu aliyekuwa nae, " chukua simu rekodi video" yule jamaa wa pembeni akatoa smartphone yake na kuanza kurekodi. Cha kushangaza wale askari wakamtishia na yule ila hakuacha kurekodi. Mwisho wa siku waliamua kuacha kumkamata yule kijana na kuondoka na V8 yao nyeusi.
Tukio hili huwa linanipa maswali sanaa,kama kweli walikuwa na haki ya kumkamata yule mtu kwanini waogope kamera??
Ndomana tulisemaga, kuna watu watakuja kupita na hii trend ya utekaji/ukamatajiWaharifu hukamatwa kisheria na kushtakiwa kisheria. Kwanini ukamteke usk wa manane? A lawless country
Bro mrangi ana heshima yake mkuu, kutumia kauli tuondolee ujinga si sahihi kaka samahan ka nimekukwazaWe nawe tuondolee ujinga hapa. Kwani wakija mchana hawawezi kumkuta? Kwanini wakamteke?
Lakini wawili walikuwa na uniform (FFU)Hao hawakuwa askari polisi.
Polisi hawawezi kuja na V8 kwa kazi hiyo
Wasiojulikana wana uwezo wa access sare za jeshi lolote hapa nchini.Lak
Lakini wawili walikuwa na uniform (FFU)
Sababu haikosi kila kituKila kitu hakikosi sababu!
Ova
Nimekupata Mkuu.Wasiojulikana wana uwezo wa access sare za jeshi lolote hapa nchini.