misimajumbasita
Senior Member
- Jun 10, 2018
- 157
- 273
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.
Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake.
Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo.
Mnaweza kuona picha hiyo wadau.