KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Kwani watu wenye elimu hawachori tattoo....??Elimu ni kitu muhimu sana
Au unamaanisha elimu gani ndugu....??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani watu wenye elimu hawachori tattoo....??Elimu ni kitu muhimu sana
Wewe lazima utakuwa unatokea Mbeya au uliishi miaka mingi mbeya.....Ikiwa mond yupo kufanya service ya meno Harmo kaamua kuchora tatuu
Ni hana? Au ana?
Jibu mujarabu sana hili [emoji16][emoji16][emoji24]Imagine tusingekuwepo si hali ingekuwa mbaya kabisa?
Na wala hana jibu zaidi ya blah blahKwani watu wenye elimu hawachori tattoo....??
Au unamaanisha elimu gani ndugu....??
Upende huu ufike mpaka kwa wazazi wetu. Tusibambikane wababa fake.Hayo mapenzi duu tungekuwa tunapendana hivyo na ndugu zetu tusinge chawiana kabisa
Wewe ungekuwa nazo usingeandika uyu badala ya huyu😅Uyu jamaa hana akili
Naishi mbeya hujakoseaWewe lazima utakuwa unatokea Mbeya au uliishi miaka mingi mbeya.....
Sawa ndugu....nimeona tu uandishi wako.....uwe na siku njema...Naishi mbeya hujakosea
kwako poa kakaSawa ndugu....nimeona tu uandishi wako.....uwe na siku njema...
Wewe usinge weka emoji ya kishogaWewe ungekuwa nazo usingeandika uyu badala ya huyu[emoji28]
Ila kufanya mziki ndio uislam unamruhusu?
Sasa kuchora tattoo na shule vinahusiana nini?
Wasomi wa Tz mnajikutagaaa,
Halafu wasiosoma ndio haoo wana droo mamilioni.
You made my day,lol.Kachora picha ya maiti
Ku droo mamilion sio sababu kwani wengine wanadroo nyasi? Wapo waliokuwa nazo lakini ziliwatawala na wameondoka wameziachaSasa kuchora tattoo na shule vinahusiana nini?
Wasomi wa Tz mnajikutagaaa,
Halafu wasiosoma ndio haoo wana droo mamilioni.
Mfano tungekuwa wote mambulula wote tunajichora kama wale mabibi na mababu wakimakonde si tungekuwa kama vinyago vya mtwara!Elimu ina ingiaje hapa@Mshana Jr
Nyinyi wasomi mumekua wajivuni sana na ndio mumelikifisha taifa hapa