Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
😂 😂 😂Kwani live yukoje?Mbona Magufuli wamemtoa vizuri kwa hiyo picha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂Kwani live yukoje?Mbona Magufuli wamemtoa vizuri kwa hiyo picha?
Na ile ya k ya shingoni kamalizia konde gangBadala limchore mamaake mzazi [emoji849][emoji849][emoji848] bure kabisa harmo- kajala
Ktk uchoraji wa tatoo hua ni lazima kumchora mama mzazi ?Badala limchore mamaake mzazi [emoji849][emoji849][emoji848] bure kabisa harmo- kajala
Hii komenti Kama haihusiania na hapa eti.. afu pia inaonekana una hasira na waliobaki .. uwepo wao umetengeneza chuki moyoni kwanini wabaki magu aende..Hakunaga kama Magufuli, wapende na wasipende kwa kizazi hiki haunanga kama Magufuli, yatosha tu kusema apumzike kwa amani kuna wengine wanajifanya wataishi milele wakati nao ipo siku wataondoka tu kama ilivyo ada kwa sisi binadamu lakini wataondoka kwa aibu.
Sasa kuchora tattoo na shule vinahusiana nini?Mapenzi [emoji3] hayo, shule nayo ni muhimu sana katika maisha yakawaida
Ila kufanya mziki ndio uislam unamruhusu?Kijana wa kiislamu anajichora mitatoo, na anajua Mungu hapendi,.. kuna watu wanaviburi sana hapa duniani
😂😂😂😂😂😂😂😂ngozi nyeusi tattoo nyeusi inaonekana kama ugonjwa wa ngozi.
Elimu ni kitu muhimu sanaKama kichwa cha habari kinavojieleza.
Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake.
Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo.
Mnaweza kuona picha hiyo wadau.
View attachment 1768825
Elimu ni kitu muhimu sana
Imagine tusingekuwepo si hali ingekuwa mbaya kabisa?Elimu ina ingiaje hapa@Mshana Jr
Nyinyi wasomi mumekua wajivuni sana na ndio mumelikifisha taifa hapa
Daaah... ulifikaje hapa jf kwa akili hzWe umechora babako aliyepaswa kukukojoa kwenye kondom