Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

haki huja na wajibu!

haijalishi ni kwa namna gani kuna uwezekano baba yake mzazi hakuwahi kumthamini kama Magufuli ambaye kwa wadhifa wake kwa jamii ni Rais wa nchi na amemwezesha kupanda kwa kiasi kikubwa hivyo kaona yafaa kumwenzi hivyo!
fikiria Elimu ndogo na alidharauliwa na kila mtu huko chini lakini Rais alimpigia simu na kumpongeza kwa kazi nzuri ya kuitangaza ilani ya CCM hivyo mwacheni tu akikuwa ataacha.
 
Mimi nashangaa tu hizo spoon nawaza anamaana gani au yeye amekuwa kabati au ndo chakula anataka tumkule...au ndo ushamba wangu tu
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.

Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake.

Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo.

Mnaweza kuona picha hiyo wadau.

View attachment 1768825
Huyu boya hajui mziki ila anataka kuishi kwa Huruma ya Mashabiki tu
Ki ukweli mimi sijawahi mkubali
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.

Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake.

Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo.

Mnaweza kuona picha hiyo wadau.

View attachment 1768825
Kila mtu atafufuliwa na kile anacho kipenda
 
Ndivyo alivyotuamrisha Mwenyezi Mungu kufanya hayo? Wewe ni muislamu wa aina gani!!! Huoni kuwa ayafanyayo ni haram? Au hujui hilo!!!
Wewe ushafanya vya haramu vingapi?
Ungekua hushiriki haramu hata huyo msanii ungekua humjui ila kwa kua ukiweka earphone unasikiliza Attitude huku watu wakikutupia Asalaam aleykum tele unajiona kama umeyapatia maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.

Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake.

Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo.

Mnaweza kuona picha hiyo wadau.

View attachment 1768825
bora hata angechora ya mzazi wake lakini si kwa usujudu huo kwa mtu ambaye hausiki kbs ktk maisha yako
 
Wewe ushafanya vya haramu vingapi?
Ungekua hushiriki haramu hata huyo msanii ungekua humjui ila kwa kua ukiweka earphone unasikiliza Attitude huku watu wakikutupia Asalaam aleykum tele unajiona kama umeyapatia maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa, naona bado unamkingia kifua swaiba wako, na kusapoti hayo yasiyompendeza Mola wako. Mimi tiari nimefikisha ujumbe/nasaha kwako na kwake pia. Allah awaongoze!

KUSIKILIZA.

Kusikiliza: Mambo yaliyo haramishwa kuyasikiliza kwa kukusudia kuyasikiliza ni maasia na yanaharibu saumu. Na jambo lililo haramishwa kulitamka ni haramu kulisikiliza kwa kukusudia. Mifano ya haya ni kama ifuatavyo:

*Kusikiliza muziki: Kusikiliza miziki na vinanda na zumari kwa kukusudia kumekatazwa na kunaharibu saumu. Kutoka kwa Ibn Abbas R.A.A. kasema, "Kasema Mtume S.A.W,[13]

صَوْتَانِ مَلْعُونَانِ فِي الدُّنْيَا وَالآخِرَةِ: صَوْتُ مِزْمَارٍ عِنْدَ نَغْمَةٍ، وَصَوْتُ مُرِنَّةٍ عِنْدَ مُصِيبَةٍ.

Maana yake, “Sauti mbili zimelaaniwa duniani na akhera sauti za zumari[14] wakati wa neema, na sauti ya yule anaelia huku anaomboleza wakati wa musiba”. Pia kasema Mtume S.A.W., [15]

لَيَكُونَنَّ مِن أُمَّتِي أَقْوَامٌ يَسْتَحِلُّونَ الْحِرَ وَالْحَرِيرَ وَالْخَمْرَ وَالْمَعَازِفَ.

Maana yake, “Watakuwepo katika umma wangu watu wenye kuchukulia: Zinaa[16], na (kuvaa) hariri na (kunywa) pombe na (kutumia/kusikiliza) ala za muziki (kama vile zumari, vinanda, filimbi) kuwa ni yenye kukubalika (yaani watayahalalisha kwa kubadilisha majina yake)”.

*Kusikiliza maneno yoyote ya uongo yaliyo katazwa kisheria au maneno ya kusengenya (kwa ubaya) kwa kukusudia ni maasia na yanaharibu saumu
 
Back
Top Bottom