Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

Hakunaga kama Magufuli, wapende na wasipende kwa kizazi hiki haunanga kama Magufuli, yatosha tu kusema apumzike kwa amani kuna wengine wanajifanya wataishi milele wakati nao ipo siku wataondoka tu kama ilivyo ada kwa sisi binadamu lakini wataondoka kwa aibu.
Hii komenti Kama haihusiania na hapa eti.. afu pia inaonekana una hasira na waliobaki .. uwepo wao umetengeneza chuki moyoni kwanini wabaki magu aende..
Nb. Pole kwa msiba
 
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.

Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake.

Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo.

Mnaweza kuona picha hiyo wadau.

View attachment 1768825
Elimu ni kitu muhimu sana
 
Back
Top Bottom