Wewe umemchora mamaako mzazi?Badala limchore mamaake mzazi [emoji849][emoji849][emoji848] bure kabisa harmo- kajala
Kwani Bashite yupo Nigeria?[emoji848]kachorwa na bashite nini??
NdioWewe umemchora mamaako mzazi?
Nauliza tu
π π πLabda anataka kwenda kufanya Tamasha Uganda
π π πChato wanajua.. au ?
Staa wa Bongo Fleva na CEO wa @kondegang @harmonize_tz ame share picha ikionyesha amechora tattoo ya hayati Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kwenye mguu wake.
Tattoo yake ya Diamond iko wapi?