Msanii Hamornize ajichora tatoo ya Hayati Magufuli

Kujichora ajichore yeye ila kuna watu wameumia utadhani wamepachikwa jiwe la moto mdomoni
 
Siwezi kuwasujudia wanasiasa mpaka siku ya mwisho hapa Duniani
 
Sasa kuchora tattoo na shule vinahusiana nini?
Wasomi wa Tz mnajikutagaaa,
Halafu wasiosoma ndio haoo wana droo mamilioni.

Dada, ulikua na ushauri ama nasaha gani kwa huyu msanii anaemkosea Mola wake!!!
 
Sasa kuchora tattoo na shule vinahusiana nini?
Wasomi wa Tz mnajikutagaaa,
Halafu wasiosoma ndio haoo wana droo mamilioni.
Ku droo mamilion sio sababu kwani wengine wanadroo nyasi? Wapo waliokuwa nazo lakini ziliwatawala na wameondoka wameziacha
 
Elimu ina ingiaje hapa@Mshana Jr
Nyinyi wasomi mumekua wajivuni sana na ndio mumelikifisha taifa hapa
Mfano tungekuwa wote mambulula wote tunajichora kama wale mabibi na mababu wakimakonde si tungekuwa kama vinyago vya mtwara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…