Msanii Harmonize (CCM) aomba Internet kuachiwa ili aachie wimbo mpya

Wafunge kabisa forever, wala hatuna shida nayo!
Wakipenda watunyanganye na simu, isipotosha wazime na jua!
Mi naona bora wangezima na mitambo ya umeme kabisa, manake wala sioni umuhimu wa huo umeme wenyewe zaidi ya kutupatia maji baridi ambayo na yenyewe yana madhara kiafya!

Isitoshe wakizima umeme forever, itatufanya tuwe tunalala mapema na hatimae kufikisha zile saa 8 zinazotakiwa kitaalamu na kuchangia kuongezeka kwa life expecancy.
 
Wafunge hadi search engine ya Google ili akili za Watanzania zikae sawa.
Wafunge hata kupiga simu kwa miezi 6 tu kama hujasikia polepole akitoka mafichoni
Wafunge hata miezi 6?! Simu hizi hizi zinazosababisha kuongezeka mimba mashuleni halafu unashauri zifungwe hata miezi 6?! Zifungwe tu moja kwa moja ili pesa tunazotumia kununua vocha tuzipeleke kwenye pembejeo
 
[emoji818]Kabisa naunga mkono
Wafunge hadi search engine ya Google ili akili za Watanzania zikae sawa.
Wafunge hata kupiga simu kwa miezi 6 tu kama hujasikia polepole akitoka mafichoni
[emoji23][emoji23] Naunga mkono hoja
smartphone zimeleta ujinga mkubwa sana na uvivu wa fikra
 
Aache uzwazwa,maumivu ndio kwanza yameanza,yeye aachie tu wimbo watasikiliza haohao waliompa kofia
 
Haahahaaahaa.....

Na bado.
 
Wasanii walizani watakaoisoma namba ni chadema tu awamu hii wasanii mtapata tabu sana serikali itaitumia basata kuwakandamiza zaidi
 
Mwambieni walioifunga hio internet wamesahau namna ya kuifungulia.
 
huyu si aliponda muziki wa leo kutegemea internet huyu??
MNAFIKI!!
 
Kwani hana namba za akina Polepole na Bashiru??
 
Aaanzishe kampeni ya matumizi ya VPN na sisi tutamuunga mkono.....halafu aachie ngoma yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…