Mi naona bora wangezima na mitambo ya umeme kabisa, manake wala sioni umuhimu wa huo umeme wenyewe zaidi ya kutupatia maji baridi ambayo na yenyewe yana madhara kiafya!Wafunge kabisa forever, wala hatuna shida nayo!
Wakipenda watunyanganye na simu, isipotosha wazime na jua!
Isitoshe wakizima umeme forever, itatufanya tuwe tunalala mapema na hatimae kufikisha zile saa 8 zinazotakiwa kitaalamu na kuchangia kuongezeka kwa life expecancy.