Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Jidanganye Mkuu. Huwajui wale jamaa kwenye mambo ye pesa hawana mzaha.

Ambaye hajalipa ni Mavoko ndio maana mpaka YouTube channel kanyang'anywa.

Harmonize kaachiwa kila kitu unadhani ni BURE ?

Kulipa kalipa, whether katoa pesa yake au mtu mwingine
Hizi zitabakia kuwa tetesi tu mkuu.
 
Mkuu Mil 500 sio kitu cha mchezo,Sio masihara ione hivyo hivyo kwa kuiandika tu.
Kama million 350 watu wametoa kwa siku 2 tu kwa mbowe [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo 500 anakosaje mtu mmoja hv dimpoz hamuonagi zile kufuru zake unazani anashilingi ngapi maana kila siku yupo nje mara Manchester ndege anapanda first class watu wanahela nyie msiwachukulie poa.
 
Back
Top Bottom