Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Kuna nyimbo kaimba kwa featuring na wasanii wengine ambao ni wabongo, eg Jide na Q Chillah.

Swali langu, kwa nini hawapo kuimba naye?

Mbona Jide alikuwepo kaimba nae stageni wimbo unaitwa wife?
 
Mkuu iyo pesa walitamka tu, harmo hata kama angekuwa nayo asingeweza kuitoa kuwapa.
Jidanganye Mkuu. Huwajui wale jamaa kwenye mambo ye pesa hawana mzaha.

Ambaye hajalipa ni Mavoko ndio maana mpaka YouTube channel kanyang'anywa.

Harmonize kaachiwa kila kitu unadhani ni BURE ?

Kulipa kalipa, whether katoa pesa yake au mtu mwingine
 
Umesema ukweli kabisa.
 
Back
Top Bottom