Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Mimi pia huo ni my fav.

The way Jaydee anaimba vizuri anaflow hadi raha.... Harmo kajitahidi

Nimeongeza mwingine kwenye list unaitwa mpaka kesho ambao JK kataka urudiwe kuimbwa na Harmo....

Lakini kama ningekuwa na nafasi ya kumchagulia wimbo wa kuanza kuachia radioni basi Wife ndio ungekuwa chaguo langu!
 
Kuna nyimbo kaimba kwa featuring na wasanii wengine ambao ni wabongo, eg Jide na Q Chillah.

Swali langu, kwa nini hawapo kuimba naye?
 
Back
Top Bottom