Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Jidanganye Mkuu. Huwajui wale jamaa kwenye mambo ye pesa hawana mzaha.

Ambaye hajalipa ni Mavoko ndio maana mpaka YouTube channel kanyang'anywa.

Harmonize kaachiwa kila kitu unadhani ni BURE ?

Kulipa kalipa, whether katoa pesa yake au mtu mwingine
Hizi zitabakia kuwa tetesi tu mkuu.
 
Sasa hivi afadhali upande wa Light,watu tunawaona vizuri.
 
Naona wazee wamesahau agizo la mhe. Kuhusu kusalimiana.....
🤣😂🤣
 
WCB wapenda sifa ungewasikia tu kama hawajalipwa hiyo hela mwana kamaliza deni lote mbona.
Harmonize mwenyewe ni mtu mmoja mpenda sifa mzuri sana kama angekuwa amemaliza deni kama unavyosema wewe angekuwa ameshaongea kitambo sana.
 
Mkuu Mil 500 sio kitu cha mchezo,Sio masihara ione hivyo hivyo kwa kuiandika tu.
Kama million 350 watu wametoa kwa siku 2 tu kwa mbowe [emoji23][emoji23][emoji23] hiyo 500 anakosaje mtu mmoja hv dimpoz hamuonagi zile kufuru zake unazani anashilingi ngapi maana kila siku yupo nje mara Manchester ndege anapanda first class watu wanahela nyie msiwachukulie poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…