I got it..Branding bro, ni lazima uoneshe kwamba huna njaa ili promoter anapokuita kwenye promotion uwe na bargaining advantage.
Wanazitumia pia wanasheria, dressing nice, driving nice car, using top brands za simu nk.
Hii inakupa sana advantage.
Hapa umesema mzee umeeleweka mzee wangu.Branding bro, ni lazima uoneshe kwamba huna njaa ili promoter anapokuita kwenye promotion uwe na bargaining advantage.
Wanazitumia pia wanasheria, dressing nice, driving nice car, using top brands za simu nk.
Hii inakupa sana advantage.
Mimi nimepata mbili zimetumwa kwenye group moja la whatsapp.Zimevuja vipi wakati naona ziko kwenye account ya Harmonize mwenyewe tena zote
Ya mwaka iyo mkuu.hiyo 25m ni per month au
sasa hata media haina revenue ya kulipa hii kodi kweli??
Kusaga movement zake bila ya Ruge zinachechemea..Refer 103.3 classic fm
Mkuu umemaliza kila kitu hapaBranding bro, ni lazima uoneshe kwamba huna njaa ili promoter anapokuita kwenye promotion uwe na bargaining advantage.
Wanazitumia pia wanasheria, dressing nice, driving nice car, using top brands za simu nk.
Hii inakupa sana advantage.
Hili somo nimelichukua na nitalifanyia kazi vizuri.Branding bro, ni lazima uoneshe kwamba huna njaa ili promoter anapokuita kwenye promotion uwe na bargaining advantage.
Wanazitumia pia wanasheria, dressing nice, driving nice car, using top brands za simu nk.
Hii inakupa sana advantage.
Acc ipi mkuu.?Zimevuja vipi wakati naona ziko kwenye account ya Harmonize mwenyewe tena zote
Ya mwaka iyo mkuu.
Yule Dada mwenye nyumba alikuwa amewapangisha kodi ya pango kwa million mbili kila mwezi.
Yeah mgumu sana. Nafikiri angetia akili na nguvu nyingi kwenye media.sasa kama 25m inawashinda,wafanyakaz wanawalipaje??..bongo nyoso kweli..
Sema mwanzo mgumu
Kwanini walipe kodi ya 25M au hata kama ingekuwa pungufu ikiwa tayari wamepata jengo la kukaa BURE ?sasa kama 25m inawashinda,wafanyakaz wanawalipaje??..bongo nyoso kweli..
Sema mwanzo mgumu
Wamehamia jengo la Joseph kusaga lilikuwa la choice FM.
Hili somo nimelichukua na nitalifanyia kazi vizuri.
Daah nami kanishangaza sana, tatizo kubwa hapo jamaa anapenda mtu kuliko Mziki.
Chuki zinatengenezwa zaidi na mashabiki mkuu kwa upande wangu mi sijaona kama WCB wana chuki za wazi kwa harmonizeMi nauelewa mziki wa diamond ila kwa sasa harmonize mziki wake unaishi...na naona kabisa WCB wameanza mambo kama yale waliyokua wanayafanya Clouds chuki zisizokua na maana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hali ngumu kaka nimuunge mkono kwa kununua album afu nipige pasi ndefu hiyo haipo aiseeWabongo nuksi badala ya kumuunga mkono kijana kwa kununua album watu wanapakua [emoji31]
Roho mbaya hapo ipo wapi?uwezi ukamwita mtu number 1 ikiwa anazidiwa vitu vingi na mtu mwingine labda ajitahidi awe number 1 hapo ndo ningemuelewa jamaaDah mkuu punguza unazi umezidi sana...why roho ikiuma kuona mwingine anasifiwa kuwa yuko juu unataka kila siku diamond wakati mkihojiwa mnajinasibu kuwa mnataka mziki ufike mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app