Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Msanii Harmonize kuzindua album yake kesho

Branding bro, ni lazima uoneshe kwamba huna njaa ili promoter anapokuita kwenye promotion uwe na bargaining advantage.

Wanazitumia pia wanasheria, dressing nice, driving nice car, using top brands za simu nk.

Hii inakupa sana advantage.
I got it..
 
hiyo 25m ni per month au

sasa hata media haina revenue ya kulipa hii kodi kweli??

Kusaga movement zake bila ya Ruge zinachechemea..Refer 103.3 classic fm
Ya mwaka iyo mkuu.

Yule Dada mwenye nyumba alikuwa amewapangisha kodi ya pango kwa million mbili kila mwezi.
 
sasa kama 25m inawashinda,wafanyakaz wanawalipaje??..bongo nyoso kweli..

Sema mwanzo mgumu
Yeah mgumu sana. Nafikiri angetia akili na nguvu nyingi kwenye media.

Japo navyoona show zake zitakuwa zinalipa vizuri kuliko anavyopata kwenye media.
 
Hii show ya singeli watu wakishua wanawezea wapi kucheza hizi ngoma za uswailini.
 
sasa kama 25m inawashinda,wafanyakaz wanawalipaje??..bongo nyoso kweli..

Sema mwanzo mgumu
Kwanini walipe kodi ya 25M au hata kama ingekuwa pungufu ikiwa tayari wamepata jengo la kukaa BURE ?

Maana wamehamia kwenye jengo la Kusaga ilipowa Choice FM .

Just simple maths
 
Mi nauelewa mziki wa diamond ila kwa sasa harmonize mziki wake unaishi...na naona kabisa WCB wameanza mambo kama yale waliyokua wanayafanya Clouds chuki zisizokua na maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chuki zinatengenezwa zaidi na mashabiki mkuu kwa upande wangu mi sijaona kama WCB wana chuki za wazi kwa harmonize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mkuu punguza unazi umezidi sana...why roho ikiuma kuona mwingine anasifiwa kuwa yuko juu unataka kila siku diamond wakati mkihojiwa mnajinasibu kuwa mnataka mziki ufike mbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya hapo ipo wapi?uwezi ukamwita mtu number 1 ikiwa anazidiwa vitu vingi na mtu mwingine labda ajitahidi awe number 1 hapo ndo ningemuelewa jamaa
 
Back
Top Bottom