Pole yake siku nyengine ajue mipaka yakeMsanii Idris Sultan amefika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Central) muda wa saa 5 asubuhi kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda
Anaendelea kushikiliwa kituoni kwa mahojiano, Inadaiwa anahojiwa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha 15 na 16
Alafu huwa kanaongea vibaya kuhusu jiwe kipindi cha mange alijifanya yuko upande wa mange kimambi saizi kisiki nikwae kimemkuta ha ha ha ha ha atalala na mateja yananuka muleMzamza anaweza pandishwa kisutu
Ova
Kigwangalla amesema lolote?Msanii Idris Sultan amefika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Central) muda wa saa 5 asubuhi kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda
Anaendelea kushikiliwa kituoni kwa mahojiano, Inadaiwa anahojiwa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha 15 na 16
BBC Swahili wameshamrusha huko kwenye Instagram page yao!Watampaisha sasa hivi kwa kitu ambacho hakina uzito.
Wakati vitu vyenye uzoto wanaviacha.
Amaaaaazing!😳This is terrific
Msanii Idris Sultan amefika Kituo cha Kikuu cha Polisi (Central) muda wa saa 5 asubuhi kuitikia wito wa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda
Anaendelea kushikiliwa kituoni kwa mahojiano, Inadaiwa anahojiwa kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao, kifungu cha 15 na 16
Sio kila kitu RAIS anatolea tamko, jifunze kuheshimu ile taasisi.Kwanini rais hajatoa tamko kuhusu swala hili?
Wacha achakazwe hawa wasanii si ndo wanamtungia nyimbo mtufukufu za kumsifu!
Duh.....Alafu huwa kanaongea vibaya kuhusu jiwe kipindi cha mange alijifanya yuko upande wa mange kimambi saizi kisiki nikwae kimemkuta ha ha ha ha ha atalala na mateja yananuka mule
Hayo ndiyo mambo ya dada yenu makondaHaya wamuhoji halafu wamfikishe mahakamani kwa kosa lipi ? Hawa wamekosa kazi tu.
Hamisi madegree!Kigwangala njoo huku fastaaaaa
Wacha achakazwe hawa wasanii si ndo wanamtungia nyimbo mtufukufu za kumsifu!
[emoji23][emoji23] sanaa ndivyo hilivyo anaibwa Trum bhana nakina JOYNER LUCAS huko nk.. Rais wa dunia tena watu wanamuombea afe kabisa mungu amchukue itakuwa bongo tena Idriss kamuombea na mema kabisa alafu anaenda central eti. [emoji144]Naam [emoji122][emoji122]
Nchi ya wasanii, tusishangae hilo ndio likawa kosa.Uhujumu uchumi na kutakatisha pesa