TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili


Kwa mara nyingine tena nakuambia wewe utakuwa mshamba sana au bado dogo sana hivi vitu huvijui...nimemaliza hapo hapo ud, walimu wa it walikuwa wanatoka department ya mathematics na statistics, kuna kipindi ilibidi wakasome nje ili wawe brushed-up in IT hence uhaba ulianzia hapo...watu wakawa wanakimbilia huko IFM, NIIT n.k...unaongelea UD kama Havard...haya tuachane na IT, mtu wa point 7 akitaka kusoma mambo ya 'Bima' ataenda wapi? Ud?
 
Hii ngoma acha kabisa .. humu Ms Trinity ndio alidhihirisha kwamba wasanii wa mbele na bongo level zao Ni tofauti kabisa ... Mwanadada alijua kupita humu ile mbaya
Alitisha sana kwakweli.
 
Pumzika kwa amani CP ukiwa na Sumalee mliitambulisha sana Parklane. Nakumbuka sana nyimbo kama "nafasi nyingine" "Aisha Aisha" mpaka leo zikipigwa hazijachuja.
 
Ifm
 
I was once entertained by your work

RIP bro
 
changamoto ya upumuaji bila shaka, wakuu tuwe na tahadhari N'DUDU bado yupo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…