TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Kwa nini sasa? Point 7 ni mambo ya form 4 huko...halafu kitambo hicho watu waliokuwa wanataka kusoma IT kama cpwaa wengi walikuwa wanaenda IFM au vile vyuo vya wahindi kule posta (e.g Learn IT)... mlimani kulikuwa na uhaba wa walimu wa computer
Mkuu kwa One ya 7 hata mimi naona kama alitupanga hivi.
Mana mwenyewe anadai alichaguliwa kwenda kusoma Kigonsera advanced level. Yani upate 1.7 form four afu uchaguliwe kigonsera.?
 
Naona sasa john visomo mnavutana sasa.. mnanyumba ngapi ngapi asee na ma GPA yenu hapo UDSM.. 😀😀😀
 
Sasa mjomba unatakiwa uelewe utoauti wa miaka tunayozungumzia hapa point ni kipindi cha nyuma IFM walikua wanaenda wenye ufaulu duni hapo tunazunguzmia kipindi hicho cha huyu marehemu kusoma i.e pre TCU...
 
Jibu swali, hapo kwenu malaria imeua nani?

Umeuliza swali zuri sana,yaani hawa Lumumba wanadhani mpaka mtaani ujue mtu kafa kwa ugonjwa flani basi ndio huo ugonjwa upo,kama hakuna mtu aliyekufa mtaani basi ugonjwa haupo!! Hajui factors zinazofavor ugonjwa flani maeneo flani,eg malaria sehemu zenye vichaka vichaka ,maji yaliyotuama(mazalio ya mbu) etc ,Kikohozi vifua mafua sehemu zenye vumbi vumbi upepo upepo etc
 
Galanos nayo shule?

Shut the fvck up wewe...

Unapoteza space tu humu
Wacha Mungu aitwe Mungu, ingekuwa rizki wanagawa wa A+ tu ingekuwa shida uzuri ni kwamba hawa matajiri wa kubwa katika hii mitandao wengi shule walikimbia na Mungu kawapa rizki kubwa waliokimbia shule na hata wale walifaulu shuleni. Unaweza usiwe vizuri shuleni lakini huku nje ukawa vizuri sana tu. Mimi ni wale sikufanya vizuri shule lakini nikapata rizki na wengine wako kina Diamond form one ila wako smart sio kuimba tu kibiashara.
 
Nani kasema zero wapi nimeandika zero, sina sababu ya kujifariji lakini niko vizuri sio milionare lakini niko vizuri tu sasa kama waliacha kwa sababu waliona hakuna faida kwa hiyo wakatumia akili zao na vipaji sasa wewe mwenye uliyejaza A+ zote jitathmini maana hapa hapa Dar wenye pesa wengi hawana CV za kuomba kazi ndio wanaajiri watu. Na sijasema elimu haina faida ina faida sana tu lakini kuwa na A+ sio kwamba ndio utafanikiwa kimaisha. Acha hasira maisha hayaendi hivyo. Halafu unataka kufananisha A+ za USA na hizi za kwetu hapo umechemka ukienda na degree yako ya UDSM ndio utaona thamani yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…