TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Kwa nini sasa? Point 7 ni mambo ya form 4 huko...halafu kitambo hicho watu waliokuwa wanataka kusoma IT kama cpwaa wengi walikuwa wanaenda IFM au vile vyuo vya wahindi kule posta (e.g Learn IT)... mlimani kulikuwa na uhaba wa walimu wa computer
Mkuu kwa One ya 7 hata mimi naona kama alitupanga hivi.
Mana mwenyewe anadai alichaguliwa kwenda kusoma Kigonsera advanced level. Yani upate 1.7 form four afu uchaguliwe kigonsera.?
 
Naona sasa john visomo mnavutana sasa.. mnanyumba ngapi ngapi asee na ma GPA yenu hapo UDSM.. 😀😀😀
 
Una feli sana tena sana! Kuduishe ni moja ya wasichana waliokua kwenye top ten yakitaifa tena kasoma Sayansi sikumbuki mwaka,lakini hakwenda kusoma Mhimbili akaenda zake Kairuki,acha kukariri brother!

Ungesema kuna baadhi ya kozi kweli lazima zifundishwe sehemu husika mfano Sheria, Engineering hizi kozi (UDSM) wako safi, Daktari (Mhimbili) wako poa! Product ya Sheria UDSM iko nondo kuzidi Products za Saut,Mzumbe,Tumaini na kwingine huko!!
Sasa mjomba unatakiwa uelewe utoauti wa miaka tunayozungumzia hapa point ni kipindi cha nyuma IFM walikua wanaenda wenye ufaulu duni hapo tunazunguzmia kipindi hicho cha huyu marehemu kusoma i.e pre TCU...
 
Jibu swali, hapo kwenu malaria imeua nani?

Umeuliza swali zuri sana,yaani hawa Lumumba wanadhani mpaka mtaani ujue mtu kafa kwa ugonjwa flani basi ndio huo ugonjwa upo,kama hakuna mtu aliyekufa mtaani basi ugonjwa haupo!! Hajui factors zinazofavor ugonjwa flani maeneo flani,eg malaria sehemu zenye vichaka vichaka ,maji yaliyotuama(mazalio ya mbu) etc ,Kikohozi vifua mafua sehemu zenye vumbi vumbi upepo upepo etc
 
Galanos nayo shule?

Shut the fvck up wewe...

Unapoteza space tu humu
Wacha Mungu aitwe Mungu, ingekuwa rizki wanagawa wa A+ tu ingekuwa shida uzuri ni kwamba hawa matajiri wa kubwa katika hii mitandao wengi shule walikimbia na Mungu kawapa rizki kubwa waliokimbia shule na hata wale walifaulu shuleni. Unaweza usiwe vizuri shuleni lakini huku nje ukawa vizuri sana tu. Mimi ni wale sikufanya vizuri shule lakini nikapata rizki na wengine wako kina Diamond form one ila wako smart sio kuimba tu kibiashara.
 
Acha kujifariji

Waliamua kuacha binafsi yao

Bill Gates alikua ni A+ Harvard student,kaacha makusudi
Mark Zuker alikua Hardvard student,kaacha makusudi
Jobs alikua student wa Stanford
etc etc


Unapojifananisha na hawa magenius unajifariji eti walipata zero unaonesha kiasi gani ulivyo mkichaa

These were super smart kids...kupata admission Harvard au Stanford ni straight As sio F kama unazotaka jifariji nazo

Usifananishe apples with oranges!
Nani kasema zero wapi nimeandika zero, sina sababu ya kujifariji lakini niko vizuri sio milionare lakini niko vizuri tu sasa kama waliacha kwa sababu waliona hakuna faida kwa hiyo wakatumia akili zao na vipaji sasa wewe mwenye uliyejaza A+ zote jitathmini maana hapa hapa Dar wenye pesa wengi hawana CV za kuomba kazi ndio wanaajiri watu. Na sijasema elimu haina faida ina faida sana tu lakini kuwa na A+ sio kwamba ndio utafanikiwa kimaisha. Acha hasira maisha hayaendi hivyo. Halafu unataka kufananisha A+ za USA na hizi za kwetu hapo umechemka ukienda na degree yako ya UDSM ndio utaona thamani yako.
 
Back
Top Bottom