Ulitaka kujiita kalapinaNakumbuka ulikuja chuoni tukiwa first year enzi hizoo ukiwa msanii machachari tulicheza mbayaaa. RIP
Huyu jamaa huwa ni mtata sana huyu!!!?MKuu
Yeyote anaweza ongea chochote
Nikikwambia hapa nilipata let say 1.7 F4 utanimini sababu tu nimesema?
Kasema yeye,nipe proof kwenye matokeo website ya NECTA,nipe link!
Hata kama alipata 1.7,ina maana F6 alizembea akafeli ndio maana mwisho wa siku katokea IFM
Of which the nigga is inherently not smart,he was smart then by fluke!
Regardless who cares alipata what.
Dizaini ndapu ndio nini
Ww katika mafala basi ni bonge la fala.Galanos nayo shule?
Shut the fvck up wewe...
Unapoteza space tu humu
Luciano Tsere mtoto wa Balozi Tsere alikuwa ametoka Marekani na alikuwa akisoma Tumaini Dar es Salaam course ya BBA ndiyo alinyonga biti ile pia ya Problem ya marehemu CP na ule wimbo wa mdogo wake na Profesa J anayeitwa Black Rhino unaitwa Black Chata . Hakuendelea kwa kuwa aliokoka na alipooa mission ikabadilika.Ile biti aliligonga Lucci hadi wakenya wakaanza tamani kufanya naye kazi, sijui kwanini Lucci hakufika mbali katika utayarishaji maana kuna kipindi aliaminika kama king wa kutengeneza beat za crank.
RIP CP
Luciano akiwa ni mtoto wa Kigogo alikuwa ametoka US kipindi hicho na crank za akina Young John, Ciara zilikuwa top on chart. Kwa utundu wake alijifunza kuzisample akatuteka wapenda burudani.Acha kabisa mkuu, beat moja hivi ambayo Lucci aliisuka kwa umakini sana utafikiri za mbele za nyakati hizi...
Ameoa anaendelea na maisha yake muziki aliacha.It was beyond its time, mimi nilipoisikia nikahisi hii beat ya mbele. Lucci yuko wapi kwa sasa
dont know this guy from a hole in a wall... couldnt say nothin bout his brains...May be you're right. Afterall, its a free world!!
We endelea kukazia the guy was not inherently smart. Mie hapa naendelea kucheza track zake.
Haya maswali huwa mnafikiri kabla ya kuandika kweli?Mbona kafa haraka haraka hivyo ? [emoji22][emoji22][emoji22]
Ovyo mwenyewe asee... usiwe unadadindia kwa mbele kabla ya kuelewa maana ya muandishi , au kama hujaelewa unauliza..Haya maswali huwa mnafikiri kabla ya kuandika kweli?
Yaani we ovyo kabisa.
Poa tu mkuu. Acha watiririke!!dont know this guy from a hole in a wall... couldnt say nothin bout his brains...
He was a public figure, his life, death, background, foreground will all be disected to the teeth.
Masela semeni oooh!! Masela semeni oooooooh!!Poleni Sana Ndugu , Jamaa na Marafiki.
Cpwaa ametoa ngoma nyingi sana Problem,6 in da morning etc ila Naikubali Sana Pini alilopiga akiwa parklane - Semeni Ohoo.....Nilikuwa napita sehemu mida kama ya saa tano hivi nikasikia wanalipiga ilo pini nikashangaa sana nani redio gani inapiga mapini yaliyobang kitambo ,Da kumbe walikuwa wanamkumbuka.
Parklane - Semeni oh ndio pini nalolipenda sana ,mwenye nayo please wekeni hapa.
Hiyo mitaa yangu sana kuanzia kwa Mkapa hapo mpaka California Dreamer tumetesa sana.Terry alikuwa anawapiga wahindi mpaka wakampiga marufuku kucheza kamali.Duh aise hpa ynyw nakamua
Sema speed imepungua sahv
Leo nlikuwa mitaa yenu upanga ule mtaa wa agakhan/takukuru kna ki bar fulani ndani ya flats fulani nlijicheba
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hahahahaha huyo Jamaa ni problem [emoji1787][emoji1787]Ww katika mafala basi ni bonge la fala.
Ndio yeye kwenye back voice alicheza Sana "eee eeeh eeeh eeeeh!!) Kama ulizisikiaBaby iam sooorrry( suma lee)
Kuna mwingine ana sauti nzito anaitika sorry sorry
Ndo huyu kaka?