TANZIA Msanii Ilunga Khalifa maarufu 'C Pwaa' afariki dunia Hospitali ya Taifa Muhimbili

Kwenu umeua wangapi
Takwimu rasmi zinapatikana National Bureau of Statistics. ( yani hata kwa akili ndogo ambayo haijawa brainwashed (Kama hata hiyo ndogo bado unayo) unaamini kwamba tz ina fire proof ya ugonjwa huu? Au unaamini katika sera za kufukuza ugonjwa kwa maombi? Au ndo hupo kwenye lile kundi la kiusifu na kuabudu. ? Kijana fungua macho na akili au Ndio mzugo umekolea.?
 
Duuu mwaka umeanza. Mtu wa kwanza maarufu kaondoka leo tarehe 17. Mungu amuweke mahali alipojichagulia.So sad!
 
Sad news!Mungu amuweke mahali alipojichagulia. Mwaka huoooo umefungua makucha yake. Nani atafuata ngoja tusubiri.
 
Mbele yake nyuma yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…