Msanii Irene Paul amtuhumu Rammy Galis kufanya maigizo kwenye msiba wa Masogange

Na jamaa ni msanii kweli maana kuna picha kaonekana kazimia huku amebebwa lakini kitambaa cha kujifutia jasho kakishika mujarabu kabisa hahaha

Alafu anasema alikuwa malawi baada ya kuzipata taarifa alizimia kwanza hahaha jamaaa yaani ni msanii kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Hahahahaha
 
Tulia wewe jamaa anarekodi movie yake hapo soon anaitoa.
camera zilitegeshwa kama location kabisa.
 
Nawaza tu kama kuna mtu alikua na ahadi ya kukwich na marehemu pindi akipona, sijui sahizi ana hali gani.
 

Mwenzenu alikuwa anaandaa movie hapo mtaelewa ikitoka
 
Aliekufa amekufa.
Ulie, ucheke, unune ugaregare haibadilishi kitu.ukwel utabaki pale pale harudi.so sion tatizo ni sehem ya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…