Msanii Irene Paul amtuhumu Rammy Galis kufanya maigizo kwenye msiba wa Masogange

Mbona chanzo cha habari kilicho post hiyo picha walitoa maelezo kwamba jamaa aliishiwa nguvu hakuzimia sasa huyo binti naona kakurupuka kuandika hivyo.
 
Wanarembuma mpaka wanajidondosha chini; uyu ni mwanaume kweli??? minajuaga mwanaume alii wala azimii ilamacho yanakuwa mekundu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Baba ake aliye agwa kabisa mbona ajazimia?

Looooooo! Kujishetua
Kwakweli ni aibu mwanaume.kulegea namna hiyo....
 
Hahahaha nadhani kwenye msiba huu kuna kitu cha kujifunza hasa wasanii wa kike. Juzi msanii Roma alisema watu wasipost picha za uchi za masogange sasa wapost zipi wakati enzi ya uhai wake alikuwa anapiga picha za namna hiyo. Na kanisa la wasabato hili pia mmefunika kombe mwanaharamu apite.
 
Hahahaha hiii kweli movie msiba. Mwili umezimia lakini vidole vipo hai. Hahahaha
 
Labda wazivishe nguo picha ndio wazipost
 
Conscious, semiconscious and unconscious those are three different levels according to Glasgow comma scale, we we should be aware of them
 
Nataka kujua huyo irene paul amewahi kuondokewa na mtu wake wa karibu
 
Yaani Idriss ajiandae kwa ngumi maana hatupwi ila ni mangumi tu haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…