Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

Sishangai kuna kamanzi kalishawai nipenda kisa kamevutiwa na begi...[emoji16][emoji16]
 
Kuna demu hivi nilikua nae akawa ana dai ana mkubali jmelod, nikaachana nae Hadi leo
[emoji16][emoji16]

Usichukulie serious haya mambo. Mm ni mwanaume lkn kwa wasanii namkubali Jux. Kuanzia muziki, personal life style, husttle.

We all have our favourite, japo kwa ke wanaweza kua na hisia zaidi mpaka ukahisi unapoteza jimbo
 
[emoji16][emoji16]

Usichukulie serious haya mambo. Mm ni mwanaume lkn kwa wasanii namkubali Jux. Kuanzia muziki, personal life style, husttle.

We all have our favourite, japo kwa ke wanaweza kua na hisia zaidi mpaka ukahisi unapoteza jimbo
Miye wangu anamkubali Whozu,
Nilipouza kiss,nikajibiw kuwa anachekesha na ni "chale"

Aahaaa

Siku hizi anamkubali Kontawa,na nyimbo zote anaziimba mstari kwa mstari

Nitafanyaje Sasa

Ila binafsi namkubali sana Jaivah,hasa like besi lake

Wanabailojia Wanasema the deeper the voice stronger the make is both psychologically and physiologically

Hana Cha maana anachoimba Jaivah,ni lile besi tu

Kuna demu aliniambia akisikia besi la Jaivah analoa

Aaahaa
 
Sisi tunapenda kiuno cha tyla
 
Kama huna bezi huwezi soma hii..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Well said
 
Mh ni yupi mmesema sauti haya ebu tupeni hiyo sauti hapa niiskilize
 
Wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Kuna kamoja kaliniambiaga kanampenda ssna keanu Reeves wa john wick. Nikakatema na hadi imenifanya namchukia huyu jamaa wa matrix. Lina sura mbaya.
Mkuu sababu ilikuwa nini keanu yuko mbali hukoo!!!!!

Mimi kuna dada alisema maneno hayo kwa kavulana ka miaka 14 mtaani,nikamtania(msivyo na akili kuna siku utampa huyu dogo ajaribu)

Akawa anacheka cheka tu.
 
Wala hawampendei sauti, wanachopenda ni multiple choice huyo jamaa anapita kwa Bibi nyau au kwa mpalange basi wadada wanachagua wanachopenda.
 
Ninapo pigaga gitaa langu la solo pia huwa nashangiliwa na vibinti viimba kwaya na mama zao piaa...mambo ya kawaida sana hayo.
 
Sijui nini nini burudani...
Hii kali.
 
Jamaa sasa atatumia hiyo sauti yake nzito kula mademu za watu kinoma noma
 
Wanaume tulipenda wanawake weupe weupe wakajichubua, tukapemda viportable wakaanza diet kupunguza unene, tukapenda misambwanda wakaanza dawa na upasuaji kuongeza nyenye ..Sasa kikao kijacho tukubaliane tuanze kupenda wanawake wenye MAKOMWE...tuone watafanyaje Hawa viumbe....wasituchnanganye tuwachanganye na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ