Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kuna mwanaume akiuliza maswali unawez uliza kama ni mwanaume kamili au laHivi ikiwa nzito ndio tamuuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwanaume akiuliza maswali unawez uliza kama ni mwanaume kamili au laHivi ikiwa nzito ndio tamuuu?
[emoji16][emoji16]Kuna demu hivi nilikua nae akawa ana dai ana mkubali jmelod, nikaachana nae Hadi leo
Miye wangu anamkubali Whozu,[emoji16][emoji16]
Usichukulie serious haya mambo. Mm ni mwanaume lkn kwa wasanii namkubali Jux. Kuanzia muziki, personal life style, husttle.
We all have our favourite, japo kwa ke wanaweza kua na hisia zaidi mpaka ukahisi unapoteza jimbo
Sisi tunapenda kiuno cha tylaHuyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana!
Sitoshangaa huyu msanii akiwa anawapata wanawake kisa ana sauti nzito! Au pengine mimi sioni wengine wanacgo kiona? Kweli maisha ni bahati tuuu! Yani hapa ndio utashangaa kuhusu wanawake….
View attachment 2923373View attachment 2923374View attachment 2923377View attachment 2923378View attachment 2923380
Kama huna bezi huwezi soma hii..😂😂😂Aweeee..
Igama la minguu JAIVAH weee
Huyo mtoto kaniona wakati nmependeza,
Kaona dorime ya mitungi juu ya meza,
Ananiangalia huku macho analegeza,
Nami nampimia akijitusu natembeza (×2)
Nikamwambia hapa mitungi BURUDA,
Washa hata kitu BURUDA,
Na kama sio kesi, kama uko fresh hapa hata mikasi BURUDA (×2)
Akaniuliza nani jina laaakooo
IGAMA LA MINGUU JAIVAH
IGAMA LA MINGUU COACH
IGAMA LA MINGUU STRIKER
Akaniuliza ubani kama laaakoo
IGAMA LA MINGUU JAIVAH
IGAMA LA MINGUU COACH
IGAMA LA MINGUU STRIKER
Si mtoto alivyoona vyenye nimepoaaa
Ye akanichukulia poaaa
Na mwanenu nnavyojua kukomoaa
Nakuwaga kama natafuta ndoaaa
Nauliza niendelee, niache..
(Kwa nini uache, kama umelianzishaa twende mpaka asubuhi) (×2)
Alooo..
Limenibanaa kojo kojo kojo.. kojo kojo kojo
Nimelewa sioni mbele, sioni nyuma, sioni juu, sioni chini tundu liko waapii.. la choo
Kama nawakwazaa semeniii..
Well saidNi namna walivyo m-brand tu “kuwa anapendwa na wanawake”, imesemwa sana mpaka imeonekana kama kweli.
Na ilivyo akili ya wanawake baadhi wanachukuliwa sana na upepo.
Kwasababu sidhani kama ana wimbo wowote wa maana wakumfanya hata mtu umsikilize mara mbili mbili. Binafsi naujua tu ule sijui nini nini buruda.
😂😂 Daaah 🙌🙌Kama huna bezi huwezi soma hii..😂😂😂
Mkuu sababu ilikuwa nini keanu yuko mbali hukoo!!!!!Wanawake ni viumbe wa ajabu sana. Kuna kamoja kaliniambiaga kanampenda ssna keanu Reeves wa john wick. Nikakatema na hadi imenifanya namchukia huyu jamaa wa matrix. Lina sura mbaya.
HahahaKuna mwanaume akiuliza maswali unawez uliza kama ni mwanaume kamili au la
Sijui nini nini burudani...Ni namna walivyo m-brand tu “kuwa anapendwa na wanawake”, imesemwa sana mpaka imeonekana kama kweli.
Na ilivyo akili ya wanawake baadhi wanachukuliwa sana na upepo.
Kwasababu sidhani kama ana wimbo wowote wa maana wakumfanya hata mtu umsikilize mara mbili mbili. Binafsi naujua tu ule sijui nini nini buruda.