To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Yeah mkiwa ndani inaleta tofauti ya me na keHivi ikiwa nzito ndio tamuuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mkiwa ndani inaleta tofauti ya me na keHivi ikiwa nzito ndio tamuuu?
Nasi tunashangaa why WowowoHahahaha bora wowo
Hahaha. Ila binadamu wote tumeumbwa na wivu, chuki na husda. Lakini hivi vyote unaweza kuviepuka kwa kupuuza, kujikaza na kuumia ndani kwa ndani kimyakimya. Mimi siku hizi sikubali kirahisi kumpenda dem kwa dhati. Unakuta dem mkali analiwa na njemba wa hovyo tena bure unabaki kushangaa wtf!Ooooooo ilooooo safi sana kakukomesha 😂😂😂😂
Sio wamama ni miili tu usibabaishwe na miiliHahahaha mbona niliona na wamama watu wazima wanashangilia kabisa?
Kwa dhati ndio wapi?Mimi siku hizi sikubali kirahisi kumpenda dem kwa dhati. Unakuta dem mkali analiwa na njemba wa hovyo tena bure unabaki kushangaa wtf!
🤣🤣🤣 Hebu acha ukorofi khaa!Ooooooo ilooooo safi sana kakukomesha 😂😂😂😂
We ulitaka aliwe na nani?? 😂😂😂😂Ila binadamu wote tumeumbwa na wivu, chuki na husda
Hahaha. Ila binadamu wote tumeumbwa na wivu, chuki na husda. Lakini hivi vyote unaweza kuviepuka kwa kupuuza, kujikaza na kuumia ndani kwa ndani kimyakimya. Mimi siku hizi sikubali kirahisi kumpenda dem kwa dhati. Unakuta dem mkali analiwa na njemba wa hovyo tena bure unabaki kushangaa wtf!
Wii 😂😂😂🤣🤣🤣 Hebu acha ukorofi khaa!
Yaani utapigwa wewe unamzomea mkaka wa watu🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wii 😂😂😂
Huyo tunajuana ananifanyiaga vurugu sana 😂😂😂😂Yaani utapigwa wewe unamzomea mkaka wa watu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Subiri akuvunje miguu ushindwe kuvaa heels kwenye white party ya JfHuyo tunajuana ananifanyiaga vurugu sana 😂😂😂😂
Nilitamani jamii forum kwenye kureact waongeze option ya kuchekaNi namna walivyo m-brand tu kuwa anapendwa na wanawake, imesemwa sana mpaka imeonekana kama kweli.
Na ilivyo akili ya wanawake baadhi wanachukuliwa sana na upepo.
Kwasababu sidhani kama ana wimbo wowote wa maana wakumfanya hata mtu umsikilize mara mbili mbili. Binafsi naujua tu ule sijui nini nini buruda.
Hao wanawake wana shangilia tuu, wenyewe uki wauliza wana shangilia nini hawajui hata wana shangilia nini.Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana!
Sitoshangaa huyu msanii akiwa anawapata wanawake kisa ana sauti nzito! Au pengine mimi sioni wengine wanacgo kiona? Kweli maisha ni bahati tuuu! Yani hapa ndio utashangaa kuhusu wanawake….
Sa hy unakuta jamaa ake ana sauti kama ya mtoto mdogo wa kike 😂 aisee ht mm nngekiwashaNdio hicho hicho Kuna siku mke wa mtu kasema anakubali sauti ya jamaa mbele ya mmewe dah kiliwaka
Mi natamani waweke voice note tucheke kwa sauti 🤣Nilitamani jamii forum kwenye kureact waongeze option ya kucheka