Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo hawatabiriki ila huwa wanapenda masculine voice lakini ndio iwe na helaHahahahaha ila wanawake bhana yani muda wowote wanabadilika sasa tutaanza kujikita kwenye sauti nzito…haha😂😂
(Kuolewa ni stara)Hakuna mke wa mtu hapo na km mkeo yuko hayo maeneo wewe huna mkeWalivyokuwa wanamshangilia yani wanapiga kelele na wengine ni wake za watu kisa jamaa ana hunguruma aiseee
Unamuonea mwanaume mwenzio wivu?Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana!
Sitoshangaa huyu msanii akiwa anawapata wanawake kisa ana sauti nzito! Au pengine mimi sioni wengine wanacgo kiona? Kweli maisha ni bahati tuuu! Yani hapa ndio utashangaa kuhusu wanawake….
View attachment 2923373View attachment 2923374View attachment 2923377View attachment 2923378View attachment 2923380
Kunywa Whisky sana na uvute fegi sana, utaipata😂😂Aiseee sasa hii sauti wanaume tutaipataje 😂😂😂
Kwamba unaleta ugali mezani?ndo maana wanawake wengi wanaachwa kwa sababu za kijinga tu ambazo hazina hata manticYeah mkiwa ndani inaleta tofauti ya me na ke
Kuachwa nako ni kesi mbona sikuhizi wanaume ndiyo waachwa zaidi mkuuKwamba unaleta ugali mezani?ndo maana wanawake wengi wanaachwa kwa sababu za kijinga tu ambazo hazina hata mantic
Ni hovyo sanaaaNi namna walivyo m-brand tu “kuwa anapendwa na wanawake”, imesemwa sana mpaka imeonekana kama kweli.
Na ilivyo akili ya wanawake baadhi wanachukuliwa sana na upepo.
Kwasababu sidhani kama ana wimbo wowote wa maana wakumfanya hata mtu umsikilize mara mbili mbili. Binafsi naujua tu ule sijui nini nini buruda.