Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana!

Sitoshangaa huyu msanii akiwa anawapata wanawake kisa ana sauti nzito! Au pengine mimi sioni wengine wanacgo kiona? Kweli maisha ni bahati tuuu! Yani hapa ndio utashangaa kuhusu wanawake….
View attachment 2923373View attachment 2923374View attachment 2923377View attachment 2923378View attachment 2923380
Unamuonea mwanaume mwenzio wivu?
 
Usijaribu kutuelewa..utajichosha tu. Sisi wenyewe hatujielewi..yes read that again!!!

*Unakuta mtu kakutana na comment mtandaon, anakua tu interested na namna ile comment imeandikwa..IMO
*Unakuta mwanaume anasifika kwa umalaya, lakin kuna namba inatamn kuonja yaliyomo yakoje, anatongoza yeye hata hotel yuko radh kulipia yeye..IMO
*Mume ana kila kitu, lakin kile alichokosa kimoja tu, ndicho bint ndakisusu anaenda kukitafuta nje..IMO
*Mwanaume anakuwa mpole, muaminifu hana makuu, ana samehe kila mara. Lakin kuna njemba anakuwa attracted nayo kisa anampiga makofi na kumkiss baada ya makofi..IMO

Sometimes nafsi inaniambia stand on your guard always. Usijiamini sana. Biblia tu imesema ajidhaniaye amesimama aangalie sana asije akaanguka.

Mwanamke hana dictionary inshort..kila siku kuna definition mpya!!!
 
Aweeee..
Igama la minguu JAIVAH weee

Huyo mtoto kaniona wakati nmependeza,
Kaona dorime ya mitungi juu ya meza,
Ananiangalia huku macho analegeza,
Nami nampimia akijitusu natembeza (×2)

Nikamwambia hapa mitungi BURUDA,
Washa hata kitu BURUDA,
Na kama sio kesi, kama uko fresh hapa hata mikasi BURUDA (×2)

Akaniuliza nani jina laaakooo
IGAMA LA MINGUU JAIVAH
IGAMA LA MINGUU COACH
IGAMA LA MINGUU STRIKER

Akaniuliza ubani kama laaakoo
IGAMA LA MINGUU JAIVAH
IGAMA LA MINGUU COACH
IGAMA LA MINGUU STRIKER

Si mtoto alivyoona vyenye nimepoaaa
Ye akanichukulia poaaa
Na mwanenu nnavyojua kukomoaa
Nakuwaga kama natafuta ndoaaa

Nauliza niendelee, niache..
(Kwa nini uache, kama umelianzishaa twende mpaka asubuhi) (×2)

Alooo..
Limenibanaa kojo kojo kojo.. kojo kojo kojo
Nimelewa sioni mbele, sioni nyuma, sioni juu, sioni chini tundu liko waapii.. la choo

Kama nawakwazaa semeniii..
 
Ni namna walivyo m-brand tu “kuwa anapendwa na wanawake”, imesemwa sana mpaka imeonekana kama kweli.

Na ilivyo akili ya wanawake baadhi wanachukuliwa sana na upepo.

Kwasababu sidhani kama ana wimbo wowote wa maana wakumfanya hata mtu umsikilize mara mbili mbili. Binafsi naujua tu ule sijui nini nini buruda.
Ni hovyo sanaaa
 
Back
Top Bottom