Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

Haaaaaaaa haaaaaaaa ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeyote ??????????????

mmmmmmmmh

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app

Pamoja na kuwa 'tayari'. Sasa issue ni kuwa 'tayari' na mambo yaliyopo huko ndani ya hiyo ndoa tarajiwa.
 
Bas siku hiz Wadada walio kuwa wanaringa mtaani afu hawajaolewa wanajifanya wanapiga jimu na washikaj ktaani haaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamii inamtazamo potofu sana.

Ukisoma jumbe za wachangiaji utagundua.

Kwani mwanamke akitafuta mume na kusema wazi tu ndiyo inamaanisha hakuna wanaomtaka kwa privacy?

Au thamani inashuka?

Kwa vigezo vya mitazamo yako right?

But what if she doesn't care?

Because wicked people and bad mind will talk no matter what you do.

Mazee tunawakandamiza sana wanawake.

Kifupi mwanamke ni mtu wadaraja la chini sana.

Kwenye lolote atakalo jaribu kuchagua/kufanya na maisha yake lazima jamii imuongelee kwa kumkandamiza.

Chunguza kitaani kwako utaona waziwazi.

Lakini no matter what patriarchal says women have always been strong.

Hata mtu kuongea tu kwa uwazi ndiyo ameshuka dhamani?

Revolution will rise from within.

Kwenye hii dunia ambayo unaweza kuwa kitu chochote chagua kuwa kind.

Our purpose in this world is to help others if we can't help them at least don't hurm them.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahahahahaaa., duh hapo sasa kuna masharti gani yaliyobakia.
Mimi nasubiria yule wa mahari milion 10 naye ashushe masharti kwa 95% then nijitose. Najua atashusha tuu maana kwa sasa anatumika kupitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…