Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

Jamii inamtazamo potofu sana.

Ukisoma jumbe za wachangiaji utagundua.

Kwani mwanamke akitafuta mume na kusema wazi tu ndiyo inamaanisha hakuna wanaomtaka kwa privacy?

Au thamani inashuka?

Kwa vigezo vya mitazamo yako right?

But what if she doesn't care?

Because wicked people and bad mind will talk no matter what you do.

Mazee tunawakandamiza sana wanawake.

Kifupi mwanamke ni mtu wadaraja la chini sana.

Kwenye lolote atakalo jaribu kuchagua/kufanya na maisha yake lazima jamii imuongelee kwa kumkandamiza.

Chunguza kitaani kwako utaona waziwazi.

Lakini no matter what patriarchal says women have always been strong.

Hata mtu kuongea tu kwa uwazi ndiyo ameshuka dhamani?

Revolution will rise from within.

Kwenye hii dunia ambayo unaweza kuwa kitu chochote chagua kuwa kind.

Our purpose in this world is to help others if we can't help them at least don't hurm them.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji169]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo wadada wajifunze! Akijipiga uso wa makeup akapita mtaani miluzi mia kidogo anapigiwa anahisi yeye ni mzuri wa level nyingine full kulinga na kubagua wanaume. Kukicha kukachwa anaitafuta miluzi haipatikani, aliowalingia nao wanamlingia

Hapo ndo utasikia kauli za kujikatia tamaa eti KUOLEWA SIO LAZIMA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wakikusikia watakumeza.
 
Wanawake Ni Watu Wenyeakiri Fupi Sn, Mwanzon Huwakataa Baadh Ya Wanaume Na Kuwatoa Kasoro Za Ufupi, Elimu Duni, Umasikini Nk. Cku Zkiyoyoma Wanaanza Kuhangaika Kwa Waganga, Social Media Na Kuapa Kuwa Tayar Kwa Yeyote Yule. Me Mwanamke Km Hyu Ni Marachache Kua Na Mahaba Na Mwenza, Anakua Anaolewa Kukabiriana Na Presha Za Jamii. Nashauri Tumwombe Mungu Atuumbie Moyo Wa Kupenda, Usikokua Na Kiburi Wala Ubaguzi, Wenye Kuridhika Na Kuheshimu Ndoa. Sio Mtu Miaka 40 Umeoa/kuolewa Mara 8, Hapo Tatizo Lipo Kwako.
 
Ray keshaoa na ana mtoto na Chuchu Hans masikini, anyway Mola wetu ni mwema siku zote, atamjalia apate mtu wa kumhifadhi na kumpa heshima km mwanamke.
 
Akihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.

Msanii huyo aliyejizolea umaarufu katika movie yake ya 'JOHARI PT. 1&2' enzi zake alikuwa anagombewa na vigogo mbalimbali wenye pesa na waigzaj wenzake ikiwemo ray na marehemu kanumba ambao mara kadhaa walipigana vikumbo kumgombea.

Lakini wahenga wanasema, ujana na nguvu ni vitu vya 'kwisha'..

Yeyote aliye tayari kumwoa johari basi amtafute maana masharti yamepunguzwa kwa 95%

Hili ni funzo kwa dada zetu wanaoringia uzuri, ujana na umaarufu wao, waache kuutumia vibaya kuepuka kadhia hapo baadaye.
Aandike bango alivae shingoni azunguke nalo kariakoo kama yule dada wa kenya.
 
Atafute wahenga wenzie sisi hatutaki mibibi mizee
 
Back
Top Bottom