Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

images
 
No More movie no money you wanna be married, ujana ulikula na nani jamani?
 
Akihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.

Msanii huyo aliyejizolea umaarufu katika movie yake ya 'JOHARI PT. 1&2' enzi zake alikuwa anagombewa na vigogo mbalimbali wenye pesa na waigzaj wenzake ikiwemo ray na marehemu kanumba ambao mara kadhaa walipigana vikumbo kumgombea.

Lakini wahenga wanasema, ujana na nguvu ni vitu vya 'kwisha'..

Yeyote aliye tayari kumwoa johari basi amtafute maana masharti yamepunguzwa kwa 95%

Hili ni funzo kwa dada zetu wanaoringia uzuri, ujana na umaarufu wao, waache kuutumia vibaya kuepuka kadhia hapo baadaye.

Mimi nipo tyr awe wazi ulevi kaacha?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Ameanza kusaka mume muda sana,takriban mwaka wa pili sasa bi Chengula analia na MUME

May Allah bless Me and You
 
kilambalambila hatari, dada zetu wanajisahau mno wanahangaishwa na miluzi na kioo
ras jeff kapita kuhusu km. Mi sjui mkuu, kamchek insta umwulize vema ila nina wasiwasi huenda katembea km nying sana, lakn mkuu itakuwa imerud tena haijalegea
Mwenye nia ya ndoa haangalii mambo ya mileage,na haina makombo
Swala ni nia ya ndoa

May Allah bless Me and You
 
Pamoja na kuwa 'tayari'. Sasa issue ni kuwa 'tayari' na mambo yaliyopo huko ndani ya hiyo ndoa tarajiwa.
Atakuwa tayar tu,kama upo tayar nenda bhana

May Allah bless Me and You
 
Back
Top Bottom