Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

angekuwa NORA ningejitosa

Words of wisdom!!!

Madem ni kama mahindi choma,
Una toa lines zako mbili upatie mwingine.
atakayebaki na gunzi shauri yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi bora nimeukuta asbuh hii nikijiandaa na 8/8

May Allah bless Me and You
 
67c83bd401a5ae8f078b15da1311e55f.jpg

Akaunti yake instar sijui niende inbobo tatizo nna miaka ka 20 cna pesa syo supastaa yaan mm ni kapuku kwishaaa ila namtakaaa nifanyeje nko mkoani.
Hajaweka vigezo,
Anataka mtu atakayempenda TU

May Allah bless Me and You
 
mwe mwe mweee, nani aoe bibi, wakati watoto wakali ndio wanakuja kwa kasi, Zamu ya Wema, Joketi na wenzake kuwa kama hawa yaja, Wolper tayari kashaanza kudandia treni kwa mbele
Wema ni "Mtoto Mkali"?
Hata "Jokate sio MTOTO MKALI"


May Allah bless Me and You
 
dah wanawake mchukulie hilo kama funzo ukiwa na miaka 25 hakikisha umeolewa au tyr una mtu ambae atleast ana malengo ya ndoa na ww ukianza tu kuvuka 27yrs hbr yako inaanza kuisha taratibu
siku hz vyuo vikuu kuna vibint vidogo vidogo kibao yan ni ww tu ukiwa una mpunga wako unajichukulia kirahisi wale vijana wenye boom hawawez kukusumbua tena uzur wa vibint vidogo k zao zinakua ziko tyt hazijakimbia kilometre nyng
sasa ww jidaanganye unakula ujana na miaka yako 26

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukumbuke mabint nao wanaanza michezo wakiwa wadogo sana,yupo la 5 au la 6 ana kabwana au bwana kabisa.Uzoefu wangu haya mambo hayana formula

May Allah bless Me and You
 
Hivi kweli ' Mbunye ' yake ya miaka ile ya mwanzoni ya 2000 itakuwa bado na ' utamu ' ule ule kwa sasa mwaka 2017?
Jamani jamani msimdhalilishe huyo dada kiasi hiki.Not at that extent

May Allah bless Me and You
 
Wapunguze mashauzi na kuchaguachagua kwiiingiii
 
Back
Top Bottom