Brightfame
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,371
- 1,456
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
namuona anaringa ringa tu we muache..vijana tupo hapa badala atupe fursa yeye amelala tuRay c naye bado hajatujuza?
Wahenga hao
Johari huyu huyu?
Naomba mawasiliano tafadhara muda muafaka umfka hapa hatamahari sitadaiwaAkihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.
Msanii huyo aliyejizolea umaarufu katika movie yake ya 'JOHARI PT. 1&2' enzi zake alikuwa anagombewa na vigogo mbalimbali wenye pesa na waigzaj wenzake ikiwemo ray na marehemu kanumba ambao mara kadhaa walipigana vikumbo kumgombea.
Lakini wahenga wanasema, ujana na nguvu ni vitu vya 'kwisha'..
Yeyote aliye tayari kumwoa johari basi amtafute maana masharti yamepunguzwa kwa 95%
Hili ni funzo kwa dada zetu wanaoringia uzuri, ujana na umaarufu wao, waache kuutumia vibaya kuepuka kadhia hapo baadaye.
aiseeMkuu Joseverest mhenga mwenzako huyu anakufaa
Mondray usije mfunua na kumfunika dada wa watu mana kivyovyote hakuna sharti la no sx b4 marriage
cephalocaudo syo mbaya, atakulea