Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

Analipa mahari yeye mwenyewe au unalipa tena mahari pale?maana hukuti kitu pale cha kuoa!
 
Reactions: SDG
aloo patamu hapo mi namsubilia wema tu
 
Reactions: SDG
Hiyo bidhaa ni nzurii? Isiwe ikwa ni bomuu Wahenga wanasema Kibaya cha jitangaza kizuri cha jiuzaa

Nina Imani baada ya Miaka kazaa wanawake hawatakuwa wanaolewa
Watakuwa wanatamani kuolewa lakini nafasi zinakuwa chache

Make vijana hawataki kuoa sasa wanawachezea tuu na kuwazalisha na kuwaacha

Leta namba ake hapa
Au E-mail [emoji391] yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: SDG
Kuna muvi yake moja aliigiza mtoto wa kishua anachagua changua wanaume mwisho akakosa wa kumuoa akawa anamlazimisha hemed ili apate cheo kwa babaake, dah kumbe yamemtokea kweli asee
Umeonaeeehe
 
Reactions: SDG

Ni zamu yetu sasa wazee........

Ujana maji ya moto......aje tuuguzane
 
Hahahaha nimecheka sana hapo kwa wahenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asijali kuna wadau wana nyota ya vyuma chakavu na kuna wale wenye nyota ya fisi.
watatia timu avute subira.
 
dah wanawake mchukulie hilo kama funzo ukiwa na miaka 25 hakikisha umeolewa au tyr una mtu ambae atleast ana malengo ya ndoa na ww ukianza tu kuvuka 27yrs hbr yako inaanza kuisha taratibu
siku hz vyuo vikuu kuna vibint vidogo vidogo kibao yan ni ww tu ukiwa una mpunga wako unajichukulia kirahisi wale vijana wenye boom hawawez kukusumbua tena uzur wa vibint vidogo k zao zinakua ziko tyt hazijakimbia kilometre nyng
sasa ww jidaanganye unakula ujana na miaka yako 26

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah aisee kweli ujana maji ya moto
Mkuu wangu, afadhali iwe maji ya moto utachagua uoge ubabuke au ukimbie usalimike. Ujana hubabua hadi roho usipocheza kwa steps za mdananda. Ila mtoto mzuri yule maalim! Jitwalie tuvunje kombe! Hahahahaaa!
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…