Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analipa mahari yeye mwenyewe au unalipa tena mahari pale?maana hukuti kitu pale cha kuoa!Akihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.
Msanii huyo aliyejizolea umaarufu katika movie yake ya 'JOHARI PT. 1&2' enzi zake alikuwa anagombewa na vigogo mbalimbali wenye pesa na waigzaj wenzake ikiwemo ray na marehemu kanumba ambao mara kadhaa walipigana vikumbo kumgombea.
Lakini wahenga wanasema, ujana na nguvu ni vitu vya 'kwisha'..
Yeyote aliye tayari kumwoa johari basi amtafute maana masharti yamepunguzwa kwa 95%
Hili ni funzo kwa dada zetu wanaoringia uzuri, ujana na umaarufu wao, waache kuutumia vibaya kuepuka kadhia hapo baadaye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani pale chini panasoma kilometa ngapi?
tuanzie hapo.
Namba za paprika na jovitha ninazo pia achilia mbali za Valentina!.....Je nikupe zote kwa mpigo mkuu?[emoji30][emoji30][emoji30]Mkuu nitafutie namba zake
Seriously..
Za jovitha ndo sina naziomba please..Namba za paprika na jovitha ninazo pia achilia mbali za Valentina!.....Je nikupe zote kwa mpigo mkuu?[emoji30][emoji30][emoji30]
UmeonaeeeheKuna muvi yake moja aliigiza mtoto wa kishua anachagua changua wanaume mwisho akakosa wa kumuoa akawa anamlazimisha hemed ili apate cheo kwa babaake, dah kumbe yamemtokea kweli asee
Hahahaha nimecheka sana hapo kwa wahengaAkihojiwa na EATV msanii mkongwe aling'ara kwenye maigizo ya Kaole 'BLANDINA CHAGULA' maarufu kama Johari ameeleza kuwa, anatafuta mume ambaye ana malengo na ambaye yupo tayari kumwoa.
Msanii huyo aliyejizolea umaarufu katika movie yake ya 'JOHARI PT. 1&2' enzi zake alikuwa anagombewa na vigogo mbalimbali wenye pesa na waigzaj wenzake ikiwemo ray na marehemu kanumba ambao mara kadhaa walipigana vikumbo kumgombea.
Lakini wahenga wanasema, ujana na nguvu ni vitu vya 'kwisha'..
Yeyote aliye tayari kumwoa johari basi amtafute maana masharti yamepunguzwa kwa 95%
Hili ni funzo kwa dada zetu wanaoringia uzuri, ujana na umaarufu wao, waache kuutumia vibaya kuepuka kadhia hapo baadaye.
Mkuu wangu, afadhali iwe maji ya moto utachagua uoge ubabuke au ukimbie usalimike. Ujana hubabua hadi roho usipocheza kwa steps za mdananda. Ila mtoto mzuri yule maalim! Jitwalie tuvunje kombe! Hahahahaaa!Daah aisee kweli ujana maji ya moto