Msanii Johari anatafuta mume yeyote aliye tayari

[emoji169]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wakikusikia watakumeza.
 
Wanawake Ni Watu Wenyeakiri Fupi Sn, Mwanzon Huwakataa Baadh Ya Wanaume Na Kuwatoa Kasoro Za Ufupi, Elimu Duni, Umasikini Nk. Cku Zkiyoyoma Wanaanza Kuhangaika Kwa Waganga, Social Media Na Kuapa Kuwa Tayar Kwa Yeyote Yule. Me Mwanamke Km Hyu Ni Marachache Kua Na Mahaba Na Mwenza, Anakua Anaolewa Kukabiriana Na Presha Za Jamii. Nashauri Tumwombe Mungu Atuumbie Moyo Wa Kupenda, Usikokua Na Kiburi Wala Ubaguzi, Wenye Kuridhika Na Kuheshimu Ndoa. Sio Mtu Miaka 40 Umeoa/kuolewa Mara 8, Hapo Tatizo Lipo Kwako.
 
Ray keshaoa na ana mtoto na Chuchu Hans masikini, anyway Mola wetu ni mwema siku zote, atamjalia apate mtu wa kumhifadhi na kumpa heshima km mwanamke.
 
Aandike bango alivae shingoni azunguke nalo kariakoo kama yule dada wa kenya.
 
Atafute wahenga wenzie sisi hatutaki mibibi mizee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…