Msanii Joslin anauza chipsi Sinza Kumekucha

Jamaa nimemmiss sn na kundi lake wa Wakali kwanza.....Q Jay yuko wapi?
 
Big Joslin kwa kuchukua uamuzi wa busara kwa sababu wewe ndiye unayejua hali halisi kati ya biashara ya muziki na chipsi.Mimi pia niliwahi kujihusisha na masuala ya muziki lakini utumwa ndio ulionifanya nione muziki ni kitu cha ajabu kwa nchi yetu.Kikubwa ni kuangalia namna ambavyo mtu unaweza kuingiza kipato kuliko kuishi maisha ya kuigiza kisha mwisho wa siku unakuja kuangukia kwenye matumizi ya madawa ili kupunguza msongo.LIVE YA LIFE BRO.
 
Amekuwahi lakini maelezo yako ukitumia Jicho la Kiumakini unaonyesha kabisa kama unamkashifu na kudharau Kuuza Kwake Chips japo hapa unavunga / unatuyeshusha Kimtindor kwa Kumpamba.
Bro umenielewa vibaya
 
Ukikua utaelewa maana ya maisha
 
Jamaa nimemmiss sn na kundi lake wa Wakali kwanza.....Q Jay yuko wapi?
Q jay kipindi cha Nyuma Nlikuwa Namuona mitaa ya msasani....ni fundi mzuri Wa uwashi....Ana design mageti,madirisha etc

Ova
 
Ni hatua nzuri sana kwa msanii wa zamani tatizo vijana wanaona wakishakua maarufu basi hawawezi jichanganya na kufanya shughuli za kawaida hali inayowaadhiri sana kisaikolojia... Wengi wao baada ya muziki kubuma hukimbilia madawa ya kulevya na umalaya kwa wanawake.

Sasa hivi wamepevuka kiakili big up joslin
 
Q jay kipindi cha Nyuma Nlikuwa Namuona mitaa ya msasani....ni fundi mzuri Wa uwashi....Ana design mageti,madirisha etc

Ova
Q Jay tuko naye Bukoba huku, nimekutana naye mara kadhaa, siku moja alikuja eneo letu la biashara usiku na washkaji zake nikamstua wewe si QJay, alistuka sana hakutegemea kama bado anafahamika na alifurahi, nilimtania tu kwamba mara ya mwisho nilisikia umehamia kwenye Gospo (hakunijibu alicheka tu), akanialika kwenye show yake hotel moja hapa mjini (free), sema mi sio mtu wa hizo mambo sikwenda. Inasemekana alikuwa anaishi Mwanza ila kwa sasa anaishi Bukoba, sema inasemekana kwa kipindi kirefu amekuwa hayuko sawa 'stress za muziki', yaani inasikitisha anavyojichanganya na undergrounds wa huku wakati alipaswa kuwa mbali, hii ni moja ya video akiwa na wasanii wa bk
 
Mimi hawa watu wanaojiita sijui wasanii nilishakataa kuwaamini kabisa maishani.upo unaweza kukuta anarecord video yake mpya.
 
Unafaa kuwa Marketing Manager,kwa jinsi ulivoanza kuandika wengi walijua utakua umemponda Jos kumbe unanpamba kwa ujasiri wake.. Naamin Lin yupo humu,basi kma itampendeza akulipe kwa hii promo! mkuu
 
Bora kuuza chipsi maana anajitafutia kuliko kuwa teja wa madaawa ya kulevya
 
Tatizo siku hizi wasanii wamekuwa wengi sana kila nyumba ukienda hukosi msanii.
Mimi mwenyewe msanii, nina umri mkubwa kiasi ila bado sijatoka ila sijakata tamaa cuz am doing music for passion only, hope nikitoka nitahit zaidi ya mond bin laden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…